Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

Israel kakutana na majeuri anapiga lakin wapi
 
israel dawa yake ipo inachemka angejua angetafuta amani kwa kuwa the hell is upon him
 
Houthi wataona moto toka angani na watamalizwa kabisa, ni hatari itakuwa
 
Houthi wataona moto toka angani na watamalizwa kabisa, ni hatari itakuwa
Wanashabikia jambo ambalo ni la hatari kwao wenyewe. Hawajamjua huyo mwamba vizuri. Ngoja liwapate la kuwapata ndo watajua walikuwa hawajui.
 
Jeshi la Anga la Israel(IAF) limefanya mashambulizi makali nchini YEMEN katika mji mkuu wa SANAA.

Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Vituo vya kuhifadhi mafuta,Maghala ya Silaha,Vituo vya kufua umeme na Makao makuu ya jeshi la wanamgambo wa HOUTHI.

Msemaji wa waasi wa HOUTHI emetoa taarifa kuwa mpaka sasa watu 9 wameuawa na 38 kujeruhiwa na kulaani kwamba shambulizi hilo ni la Kinyama.

Mashambulizi hayo ya Israel ni kulipiza kisasi shambulizi lililofanywa na waasi hao ambalo mabaki yake yaliharibu shule moja.

Iran imelaani shambulizi hilo na kuliita la Kigaidi ambalo linakiuka sheria za kimataifa.

Hawa wauothi wakishambulia wao ni halali ila Israel akijibu ni ukiukaji wa haki so difficult
 
Back
Top Bottom