komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Mkubwa vipi, bila kutukana huwezi kuandika. Wastaarabu wanatoa elimu, ila shabiki maandazi hurukia matusi. Sio kila mtu ni mshabiki wa Israel KIROHO. BBC leo taarifa ya habari saa 12:30 imethibitisha Hezbollah na Hamas na Syria wako hoi. Mliwatukuza sana. Leo wamepukutishwa. Haihitaji ushabiki kujua nani anapoteza na nani anashinda. Leo nenda Ghaza, Lebanon na Syria tuletee habari.Nyie mizwazwa tim upinde mix jehova mnajua kwann Israel kaenda kupiga Yemen mnajua Telaviv jana ilipigwa vibaya na Haouth y Yemen kwaiyo iyo Israel ndio wanalipiza kisas cha jana usiku. nyinyi amfatilii habari kazi mapambio Uwongo kumtukuza muuni wenu mkimwita mungu yani mpaka sasa amjui kuwa Telaviv ilipigwa usiku w jana kutokea Yemen. Ebdeleeni kusubili Habari kutoka BBC au redio mchungaj kibelenge w vinena. Nimechunguza jumbe zeni nyote mlikuwa amjui kinachoendelea endeelen kumsifu bwana wenu!!!! Anatenda miujiza japo miujiza kaigiza Mchungaji ili sifa apewe bwana wenu!!!!! Kisha yeye mchungaj akabe maokoto kiwepesi!!!! Mijinga ndio waliwao mjin shule endeleen kusifu.munabarikiwa sana msisau kipika misifa kuwa Israel ndio mwanaume mwenye akili sana kuliko babazenu tena zayuni anyi wala wala awafi ata kuusu ushoga wanasingiziwa tu na kuuwa watoto nayo uwongo tu ata hati ya ICC ni shetan tu anamjalibu malaika wenu mtakatifu Netanyahu. Muwe na usiku njema Yanga Bingwa