Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

Jeshi la Anga la Israel(IAF) limefanya mashambulizi makali nchini YEMEN katika mji mkuu wa SANAA.

Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Vituo vya kuhifadhi mafuta,Maghala ya Silaha,Vituo vya kufua umeme na Makao makuu ya jeshi la wanamgambo wa HOUTHI.

Msemaji wa waasi wa HOUTHI emetoa taarifa kuwa mpaka sasa watu 9 wameuawa na 38 kujeruhiwa na kulaani kwamba shambulizi hilo ni la Kinyama.

Mashambulizi hayo ya Israel ni kulipiza kisasi shambulizi lililofanywa na waasi hao ambalo mabaki yake yaliharibu shule moja.

Iran imelaani shambulizi hilo na kuliita la Kigaidi ambalo linakiuka sheria za kimataifa.

tuwape pole yemen, maana leo hawana bandari yeyote imebaki, zote zimepigwa, kituo cha umeme, mafuta na kila kitu.
 
Wale Magaidi wa Houthi wanapewa jeuri na Ayatolah.
 
Jeshi la Anga la Israel(IAF) limefanya mashambulizi makali nchini YEMEN katika mji mkuu wa SANAA.

Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Vituo vya kuhifadhi mafuta,Maghala ya Silaha,Vituo vya kufua umeme na Makao makuu ya jeshi la wanamgambo wa HOUTHI.

Msemaji wa waasi wa HOUTHI emetoa taarifa kuwa mpaka sasa watu 9 wameuawa na 38 kujeruhiwa na kulaani kwamba shambulizi hilo ni la Kinyama.

Mashambulizi hayo ya Israel ni kulipiza kisasi shambulizi lililofanywa na waasi hao ambalo mabaki yake yaliharibu shule moja.

Iran imelaani shambulizi hilo na kuliita la Kigaidi ambalo linakiuka sheria za kimataifa.

Hakuna jipya, yote hayo Israel,Marekani na uingereza wanayafanya kwa kurudiarudia, wanachobadili ni mapambio tu, mara shambulizi kubwa,mara lakutisha,mara lakikatili lakini operation za Wahouth zinaendelea kama kawaida!
 
Sisi wakulima wa mihogo tunajua jinsi ya kungoa mhogo mkubwa bila kuuharibu, unaanza na vile vidogodogo vya pembeni huku ukiendelea kwenda chini kwa kuuzunguka mhogo mkubwa.
Wahenga walisema: "Fumbo mfumbie mjinga, mwerevu hung'amua". Hao cjui ni wajinga au ni werevu. Ngoja tuone itakavyokuwa.
 
Nyie mizwazwa tim upinde mix jehova mnajua kwann Israel kaenda kupiga Yemen mnajua Telaviv jana ilipigwa vibaya na Haouth y Yemen kwaiyo iyo Israel ndio wanalipiza kisas cha jana usiku. nyinyi amfatilii habari kazi mapambio Uwongo kumtukuza muuni wenu mkimwita mungu yani mpaka sasa amjui kuwa Telaviv ilipigwa usiku w jana kutokea Yemen. Ebdeleeni kusubili Habari kutoka BBC au redio mchungaj kibelenge w vinena. Nimechunguza jumbe zenu nyote mlikuwa amjui kinachoendelea endeelen kumsifu bwana wenu!!!! Anatenda miujiza japo miujiza kaigiza Mchungaji ili sifa apewe bwana wenu!!!!! Kisha yeye mchungaj akabe maokoto kiwepesi!!!! Mijinga ndio waliwao mjin shule endeleen kusifu.munabarikiwa sana msisau kipika misifa kuwa Israel ndio mwanaume mwenye akili sana kuliko babazenu tena zayuni anyi wala wala awafi ata kuusu ushoga wanasingiziwa tu na kuuwa watoto nayo uwongo tu ata hati ya ICC ni shetan tu anamjalibu malaika wenu mtakatifu Netanyahu. Muwe na siku njema Yanga Bingwa
Una matatizo ya akili wewe sio bure, acha tabia za kutukana imani za watu jadili mada iliyopo mezani sio kushambulia imani za watu, mpuuzi mkubwa weeeeeeeeee
 
Kwa akili ya kawaida kabisa unafikiri houth wanavyofanya sarakasi zao hawajui kuna hizi hasara?
Uperarion hiyo imefanywa na uingerza usa na isreli kaingizwa hapo lakini kama kawa sifa zote anapew isreli hii sio kwa bahat Mbaya bali ni sifa zile zile walazimishazo yahudi awe nazo
 
Uperarion hiyo imefanywa na uingerza usa na isreli kaingizwa hapo lakini kama kawa sifa zote anapew isreli hii sio kwa bahat Mbaya bali ni sifa zile zile walazimishazo yahudi awe nazo
Usihamishe magoli mkuu. Jamaa "Houthis" kabutuliwa na IDF. Hiyo ya operation imefanywa na Uingereza cjui USA hiyo ni ya kwako mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: FWC
Uperarion hiyo imefanywa na uingerza usa na isreli kaingizwa hapo lakini kama kawa sifa zote anapew isreli hii sio kwa bahat Mbaya bali ni sifa zile zile walazimishazo yahudi awe nazo
Yahudi asaidiwe au asisaidiwe, ndiyo hivyo Houth keshaumizwa ,,alisifiwa sana kwa kuzibamiza meli za western. Mapambio yakawa kama yote humu. Sasa anahesabu hasara.
 
Atakuwa na majasusi kila nchi. Najiuliza anajuaje maeneo nyeti kiasi hicho na kuyalenga bila kumkosea ?
Walisema huyo ni level nyingine. Ila nawashangaa kobaaz bado wanajaribu na kuthubutu kumtunishia misuli. Ona wanavyolabuliwa sasa. Utadhani ni mahindi ya kande kwenye kinu huko Upareni.
 
Yahudi asaidiwe au asisaidiwe, ndiyo hivyo Houth keshaumizwa ,,alisifiwa sana kwa kuzibamiza meli za western. Mapambio yakawa kama yote humu. Sasa anahesabu hasara.
Hahahaa. Kobaaz Meno yote ya mbele i.e.mitambo ya umeme, Maghala ya silaha, mafuta etc kwishney. Habar ndo hiyo.
 
Back
Top Bottom