pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Ina maana hawana ulinzi wa anga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaambaambaa na Red Sea. F35 zilionekana zikielekea Southwest direction then southwards over the sea then they turned eastwards na kuacha kichapo kitakatifu kisha zikapotea eneo la tukio michumachuma yote ikiwa usingizi wa pono.Kapita anga gani?
Huyu jamaa Yuko serious kweli? Kwahiyo Yale madude wanarushaga wao yangekuwa yanapita tu ndani ya Israel bila kuwa intercepted ingekuwaje?Msemaji wa waasi wa HOUTHI emetoa taarifa kulaani kwamba shambulizi hilo ni la Kinyama.
Ona hata kuandika kwenyewe shida kachambe mzee kisha ukaswaliNyie mizwazwa tim upinde mix jehova mnajua kwann Israel kaenda kupiga Yemen mnajua Telaviv jana ilipigwa vibaya na Haouth y Yemen kwaiyo iyo Israel ndio wanalipiza kisas cha jana usiku. nyinyi amfatilii habari kazi mapambio Uwongo kumtukuza muuni wenu mkimwita mungu yani mpaka sasa amjui kuwa Telaviv ilipigwa usiku w jana kutokea Yemen. Ebdeleeni kusubili Habari kutoka BBC au redio mchungaj kibelenge w vinena. Nimechunguza jumbe zeni nyote mlikuwa amjui kinachoendelea endeelen kumsifu bwana wenu!!!! Anatenda miujiza japo miujiza kaigiza Mchungaji ili sifa apewe bwana wenu!!!!! Kisha yeye mchungaj akabe maokoto kiwepesi!!!! Mijinga ndio waliwao mjin shule endeleen kusifu.munabarikiwa sana msisau kipika misifa kuwa Israel ndio mwanaume mwenye akili sana kuliko babazenu tena zayuni anyi wala wala awafi ata kuusu ushoga wanasingiziwa tu na kuuwa watoto nayo uwongo tu ata hati ya ICC ni shetan tu anamjalibu malaika wenu mtakatifu Netanyahu. Muwe na usiku njema Yanga Bingwa
Hawa kwa Sasa hakuna wa kuwazuia. Labda katika ulimwengu ujao. Siyo katika ulimwengu huu.Ni muda Sasa jw kwenda huko kuzuia uhuni wa israel.kila sehemu wao wanavuruga amani.
Hezbollah siku hizi wameacha kuvurumisha maroketi na wao?Jeshi la Anga la Israel(IAF) limefanya mashambulizi makali nchini YEMEN katika mji mkuu wa SANAA.
Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Vituo vya kuhifadhi mafuta,Maghala ya Silaha,Vituo vya kufua umeme na Makao makuu ya jeshi la wanamgambo wa HOUTHI.
Msemaji wa waasi wa HOUTHI emetoa taarifa kuwa mpaka sasa watu 9 wameuawa na 38 kujeruhiwa na kulaani kwamba shambulizi hilo ni la Kinyama.
Mashambulizi hayo ya Israel ni kulipiza kisasi shambulizi lililofanywa na waasi hao ambalo mabaki yake yaliharibu shule moja.
Iran imelaani shambulizi hilo na kuliita la Kigaidi ambalo linakiuka sheria za kimataifa.
![]()
Updates: Israeli attacks on Gaza shelters kill 15 people
These were the updates on Israel’s war on Gaza for Thursday, December 19.aje.io
Sasa kazi ipi?...mafuta yao yanachimbwa na Makampuni kutoka France, UK, na USA Mwarabu ana raha sana, yeye anaswali, anakula na kuoaHawa mafala WA kiarabu tatizo lao kubwa ni Akili Tu.
Hawa mafala hata waungane vipi bado watashindwa Tu ni Bora wafanye kazi nyingine tu
Huu muandiko wa mhitimu wa MadrasatulNyie mizwazwa tim upinde mix jehova mnajua kwann Israel kaenda kupiga Yemen mnajua Telaviv jana ilipigwa vibaya na Haouth y Yemen kwaiyo iyo Israel ndio wanalipiza kisas cha jana usiku. nyinyi amfatilii habari kazi mapambio Uwongo kumtukuza muuni wenu mkimwita mungu yani mpaka sasa amjui kuwa Telaviv ilipigwa usiku w jana kutokea Yemen. Ebdeleeni kusubili Habari kutoka BBC au redio mchungaj kibelenge w vinena. Nimechunguza jumbe zenu nyote mlikuwa amjui kinachoendelea endeelen kumsifu bwana wenu!!!! Anatenda miujiza japo miujiza kaigiza Mchungaji ili sifa apewe bwana wenu!!!!! Kisha yeye mchungaj akabe maokoto kiwepesi!!!! Mijinga ndio waliwao mjin shule endeleen kusifu.munabarikiwa sana msisau kipika misifa kuwa Israel ndio mwanaume mwenye akili sana kuliko babazenu tena zayuni anyi wala wala awafi ata kuusu ushoga wanasingiziwa tu na kuuwa watoto nayo uwongo tu ata hati ya ICC ni shetan tu anamjalibu malaika wenu mtakatifu Netanyahu. Muwe na siku njema Yanga Bingwa
Jeshi la Anga la Israel(IAF) limefanya mashambulizi makali nchini YEMEN katika mji mkuu wa SANAA.
Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Vituo vya kuhifadhi mafuta,Maghala ya Silaha,Vituo vya kufua umeme na Makao makuu ya jeshi la wanamgambo wa HOUTHI.
Msemaji wa waasi wa HOUTHI emetoa taarifa kuwa mpaka sasa watu 9 wameuawa na 38 kujeruhiwa na kulaani kwamba shambulizi hilo ni la Kinyama.
Mashambulizi hayo ya Israel ni kulipiza kisasi shambulizi lililofanywa na waasi hao ambalo mabaki yake yaliharibu shule moja.
Iran imelaani shambulizi hilo na kuliita la Kigaidi ambalo linakiuka sheria za kimataifa.
![]()
Updates: Israeli attacks on Gaza shelters kill 15 people
These were the updates on Israel’s war on Gaza for Thursday, December 19.aje.io
VIDEO: Matenki ya Mafuta yakiteketea katika mji mkuu wa Yemen SANAA baada ya jeshi la Israel kufanya Mashambulizi Makubwa.
View: https://youtube.com/shorts/SsrOKDDFYjw?si=iZ19is135PVtnEYH
Mambo yote ya mwanadamu yanayomtokea yapo scripted na yanatekelezwa na nguvu za asili hakuna jambo linalotokea bahati mbayaMiungu yote haijihusishi na baadhi ya ishu za binadamu ikiwemo Vita
Tel aviv ipigwe alafu iwe siri huu ni uongo mtakatifuMizwazwa inapenda kujidanganya na kujichekesha chekesha lkn awajui Telaviv yenyewe mji mkuu jana umenyooshwa tena seem muimu sana imepigwa A.D y israel kwaajili ya viloket tu Wanaume wakiamua wanapiga popote ndani ya Taifa la mishoga jana wamekimbizana kwenye mashimo awakutoka Adi asubui ndio Asila sasa IDF imefanya mashambulizi uko Yemen. Lkn aisadii kitu tena sio yeye Israel tu inasaidiwa na Marekani na UK kupiga Yemen. TelaViv jana ilikuwa sio poa mazee nyie imbeni kwaya na mipambiyo ya Taifa teule Wenzenu Chamoto wanakiona.