Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Israeli ametawala anga lote mashariki ya katiKapita anga gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israeli ametawala anga lote mashariki ya katiKapita anga gani?
Msemaji wa waasi wa HOUTHI emetoa taarifa kuwa mpaka sasa watu 9 wameuawa na 38 kujeruhiwa na kulaani kwamba shambulizi hilo ni la Kinyama.
Hao "HOUTHI" ndilo wale waliokuwa wanashambulia meli kadha kadha?Jeshi la Anga la Israel(IAF) limefanya mashambulizi makali nchini YEMEN katika mji mkuu wa SANAA.
Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Vituo vya kuhifadhi mafuta,Maghala ya Silaha,Vituo vya kufua umeme na Makao makuu ya jeshi la wanamgambo wa HOUTHI.
Msemaji wa waasi wa HOUTHI emetoa taarifa kuwa mpaka sasa watu 9 wameuawa na 38 kujeruhiwa na kulaani kwamba shambulizi hilo ni la Kinyama.
Mashambulizi hayo ya Israel ni kulipiza kisasi shambulizi lililofanywa na waasi hao ambalo mabaki yake yaliharibu shule moja.
Iran imelaani shambulizi hilo na kuliita la Kigaidi ambalo linakiuka sheria za kimataifa.
![]()
Updates: Israeli attacks on Gaza shelters kill 15 people
These were the updates on Israel’s war on Gaza for Thursday, December 19.aje.io
VIDEO: Vituo vya kuzalisha umeme nchini YEMEN vikiteketea baada ya Israel kufanya mashambulizi ya Anga.
View: https://youtu.be/5mptcsf2z9w?si=qbZsrahbaj2KMMTT
Jw hii kizmkazi?Ni muda Sasa jw kwenda huko kuzuia uhuni wa israel.kila sehemu wao wanavuruga amani.
Sawa askari wa zanzibarNyie mizwazwa tim upinde mix jehova mnajua kwann Israel kaenda kupiga Yemen mnajua Telaviv jana ilipigwa vibaya na Haouth y Yemen kwaiyo iyo Israel ndio wanalipiza kisas cha jana usiku. nyinyi amfatilii habari kazi mapambio Uwongo kumtukuza muuni wenu mkimwita mungu yani mpaka sasa amjui kuwa Telaviv ilipigwa usiku w jana kutokea Yemen. Ebdeleeni kusubili Habari kutoka BBC au redio mchungaj kibelenge w vinena. Nimechunguza jumbe zenu nyote mlikuwa amjui kinachoendelea endeelen kumsifu bwana wenu!!!! Anatenda miujiza japo miujiza kaigiza Mchungaji ili sifa apewe bwana wenu!!!!! Kisha yeye mchungaj akabe maokoto kiwepesi!!!! Mijinga ndio waliwao mjin shule endeleen kusifu.munabarikiwa sana msisau kipika misifa kuwa Israel ndio mwanaume mwenye akili sana kuliko babazenu tena zayuni anyi wala wala awafi ata kuusu ushoga wanasingiziwa tu na kuuwa watoto nayo uwongo tu ata hati ya ICC ni shetan tu anamjalibu malaika wenu mtakatifu Netanyahu. Muwe na siku njema Yanga Bingwa
Kobazi mkuu Iran kapoa ile mikwala hatuioni kulikoni?IDF kiboko.Naam. Mshahara wa Iran utajumuishwa kwenye pensheni yake.
Miujiza ya allah bhana!au wakawasomee albadili israel yote wawe vichaa
Osrael inafanya jambo jema sana na muhimu sana kwaajili ya usalama wa Dunia.Israel anajipigia tu popote pale Middle East dah
Kwa hiyo hawasahau au kupoteza utaifa wao hata kwa Karne kadhaa ? Je lugha unabakia au inapotea ,? Je dini inadumishwa au hufuata wenyeji walipozaliwaitakua aliacha mbegu sehemu zote alizowahi kukaa utumwani... myahudi hapo middle east mpaka ajemi ameshiaishi kama mtumwa kwa miaka mingi mno.. sasa nahisi aliacha mbegu zake kote huko na ndio zinamsaidia mpaka leo.
Wamesema houthi wenyeweSasa ww umezipataje mkuu? Au ww ni mwana-IDF?
Hawakuoneshi palipopigwa,kule mpakani na Lebanon hizbullah wamepatwanga sana mpaka raia wakahama,ulishawahi ona picha zakeKupigwa ni kawaida kwenye vita
Ila unaangalia damage
Gaza ukipaona uhitaji kuuliza mara mbili kwa ule uharibifu same kwa syria
Ukiangalia tel aviv, jerusalem bado panapendeza hapana uharibifu kama gaza
Naomba linkWamesema houthi wenyewe
Anaugumia maumivu makali - labda baadayeKobazi mkuu Iran kapoa ile mikwala hatuioni kulikoni?IDF kiboko.
Google utakutana navyo mzeeNaomba link