Sasa kwanini huwa mnajipiga mawe ?
Sasa kwanini huwa mnajipiga mawe ?
Ili masanamu kama la kwenye uzi huu yabomoke. Waabudu masanamu mkose masanamu ya kuyaabudu.Sasa kwanini huwa mnajipiga mawe ?
Naunga mkono hoja hata kuabudu mizimu kaburini ni kosa watu wanaenda maka kuabudu mzimu wa mudi boy wana sujudu mbele ya kaburi la mudi boyIli masanamu kama la kwenye uzi huu yabomoke. Waabudu masanamu mkose masanamu ya kuyaabudu.
Hilo limevunjwa Kwa Nyundo, hakuna Ishara hapo.Katika ulimwengu wa Roho hiyo ni ishara ya anguko la CCM chama alichoasisi na ambacho kimedumu madarakani kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
Jua na mwezi juu ya nyumba zenu za Ibada ni Ibada ya sanamu.Hii nchi nayo, mitume walikuja kuvunja masanamu
Wajinga ndiyo waliwao wanatuchongea masanamu.
Ni bora lilivyovunjika vunjika.
Hiyo laana yao itawarudia wenyewe.
Unaota tu.Jua na mwezi juu ya nyumba zenu za Ibada ni Ibada ya sanamu.
Hilo sanamu halijavunjika lenyewe, limevunjwa picha inaonyesha wazi.1 Samweli 5 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³ Na watu wa Ashdodi, walipoamka alfajiri siku ya pili, kumbe! Dagoni imeanguka chini kifudifudi, mbele ya sanduku la Bwana. Wakaitwaa Dagoni, wakaisimamisha mahali pake tena.
⁴ Hata walipoamka kesho yake asubuhi, kumbe! Dagoni ilikuwa imeanguka chini kifudifudi, mbele ya sanduku la Bwana; na kichwa chake Dagoni na vitanga vya mikono yake vyote viwili vimekatika, vipo vimelala kizingitini; Dagoni ikasalia kiwiliwili chake tu.
Kusali mmeshika udhu ni Ibada ya sanamu pia, Waganga pia wanazo shanga za aina hiyo.Unaota tu.
. Sanamu nyang'anyang'a au hujaziona picha?
Hivi lile sanamu la nyerere la kigwangala liliishia wapi?Lijengwe jipya
Unaota?Hilo sanamu halijavunjika lenyewe, limevunjwa picha inaonyesha wazi.
Sijui hata ilikuaje?Hivi lile sanamu la nyerere la kigwangala liliishia wapi?
Itakuwa kaihifadhi nyumbani kwakeSijui hata ilikuaje?
Upo sahihiHilo limevunjwa Kwa Nyundo, hakuna Ishara hapo.
😂 baada ya porojo zoteItakuwa kaihifadhi nyumbani kwake