Sanamu La Mwalimu Nyerere Laanguka Na Kuvunjika Mkoani Tabora.Watu Washikwa na Taharuki na kusikitika Sana

Sanamu La Mwalimu Nyerere Laanguka Na Kuvunjika Mkoani Tabora.Watu Washikwa na Taharuki na kusikitika Sana

Ili masanamu kama la kwenye uzi huu yabomoke. Waabudu masanamu mkose masanamu ya kuyaabudu.
Naunga mkono hoja hata kuabudu mizimu kaburini ni kosa watu wanaenda maka kuabudu mzimu wa mudi boy wana sujudu mbele ya kaburi la mudi boy
 
Hii nchi nayo, mitume walikuja kuvunja masanamu
Wajinga ndiyo waliwao wanatuchongea masanamu.

Ni bora lilivyovunjika vunjika.

Hiyo laana yao itawarudia wenyewe.
Jua na mwezi juu ya nyumba zenu za Ibada ni Ibada ya sanamu.
 
1 Samweli 5 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³ Na watu wa Ashdodi, walipoamka alfajiri siku ya pili, kumbe! Dagoni imeanguka chini kifudifudi, mbele ya sanduku la Bwana. Wakaitwaa Dagoni, wakaisimamisha mahali pake tena.
⁴ Hata walipoamka kesho yake asubuhi, kumbe! Dagoni ilikuwa imeanguka chini kifudifudi, mbele ya sanduku la Bwana; na kichwa chake Dagoni na vitanga vya mikono yake vyote viwili vimekatika, vipo vimelala kizingitini; Dagoni ikasalia kiwiliwili chake tu.
Hilo sanamu halijavunjika lenyewe, limevunjwa picha inaonyesha wazi.
 
Unaota tu.
. Sanamu nyang'anyang'a au hujaziona picha?
Kusali mmeshika udhu ni Ibada ya sanamu pia, Waganga pia wanazo shanga za aina hiyo.

Imeandikwa, wamwabudio halisi imewapasa kumwabudu katika Roho na Kweli.
 
Back
Top Bottom