Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha afunguke ajui kuwa radi uwaga inapiga vitu virefuSawa tumesoma
😅😅😅😅haimuogopi etiIna maana radi haimuogopi Yesu au?
Hamna kitu kinacho ni kera kama kuingiza dini zingine kwenye mada zisio husika na dini hiyo, kama wale wameamua kutegeneza sanamu lao na kuliabudu sawa tu akili zao ndo zinaona ni sahihi, hapa major subject ni Radi ya kila mara kupiga hilo sanamu la Mungu wao.Mswalieni mtume, bado hajafika anapostahili
Zile nyengine huwa zinapiga kikawaida.Hizi za hapa zinapiga kwa hasira kweli na huchagua muda watu wengi waone kama siku zile za kombe la dunia.Jee hupati ujumbe hapaHujasoma hata physics,kitu chochote kirefu katika ardhi huwa ndio cha kwanza kupokea radi ili kusafirisha postive and negative charge kati ya mawingu na ardhi,kasome static electricity utelewa zaidi.
Hivyo hiyo sanamu ni object ndefu hivyo kupigwa na radi kitu cha kawaida,kumbuka pia huo ni sanamu kama sanamu zingine tu.
Kwa hiyo tuijadili radi kwa nn inapiga pale hasa maeneo ya kichwani? Na kwa nn haipigi miguuniUkifumba macho ukifumbua Kwa Nini liendelee kupigwa radi?
Sanamu halijengwi ili liweke uvunguni bali sehemu ya juu ili linonekane bila kujali athali kuwepo kwake hapo.Kwanza waulize wale waliokaa vikao wakachagua eneo la juu sana na wakatumia gharama kubwa kulijenga.Walikusudia kusema nini.
Huenda walio chonga hilo sanamu la Mungu wao walikua na malengo ya kuzuia radi isifikie watu au msitu huo, na kuchoma, wakaona bora ishuke kwa Mungu wao mwenye mwenye kuleta radi.Kwa hiyo tuijadili radi kwa nn inapiga pale hasa maeneo ya kichwani? Na kwa nn haipigi miguuni
Bakia kwenye njia kuu,hizo radi Kwa mwenye akili timamu inaleta maswali meengi kama mchanga.Na ambavyo huwezi ficha upumbavu wako umeliweka hii andiko hapa kwa kudhani Paul anamdhihaki Mungu.
Ikiwa jambo dogo umeshindwa lielewa uwa mnapata uthubutu wa ku- analaizi trinity[emoji23].
Kwa hiyo radi za brazilHuenda walio chonga hilo sanamu la Mungu wao walikua na malengo ya kuzuia radi isifikie watu au msutu huo, na kuchoma, wakaona bora ishuke kwa Mungu wao mwenye kuleta radi hiyo
Unataka tukubaliane kuwa radi ni super naturalHuenda walio chonga hilo sanamu la Mungu wao walikua na malengo ya kuzuia radi isifikie watu au msitu huo, na kuchoma, wakaona bora ishuke kwa Mungu wao mwenye mwenye kuleta radi.
Sawa .Iwapo hawajali hii fedheha .Sio sisi tu huku hata kule Rio wamejadili sana.Sanamu halijengwi ili liweke uvunguni bali sehemu ya juu ili linonekane bila kujali athali kuwepo kwake hapo.
Ndiyo maana katika kadhia hiyo yote hawajawai plan kulishusha.
Ni natural disaster.......mkuuKwa hiyo radi za brazil
Unataka tukubaliane kuwa radi ni super natural
Radi inapiga mpaka nyumba unayoishi ndio maana wanawek earth rod
Ushawahi sikia radi imepiga mashuleni huko ughaibunihivi hizo "earth rod" huwa wanaweka kila jengo ? Kwa nn watoto wa shule za vijijini hufa na radi madarasani Hakuna "earth rod" ?
Object kupigwa na radi ni fedheha?.Sawa .Iwapo hawajali hii fedheha .Sio sisi tu huku hata kule Rio wamejadili sana.
Ukifumba macho na kufumbua unadhani kwanini Watanzania wenzako hapo Kigoma au Sumbawanga wanapigwa sana na radi?Ukifumba macho ukifumbua Kwa Nini liendelee kupigwa radi?