Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

Kwa nini yesu alimlaani yuda
MUNGU wa mbinguni wa mbinguni pia analaani :

Danieli 9: 9-11 " Wewe, Bwana Mungu wetu, una huruma na msamaha, ingawa sisi tumekuasi. Tulikataa kukusikiliza, ee Bwana, Mungu wetu; hatukuishi kulingana na sheria zako ulizotupa kwa njia ya watumishi wako manabii. Waisraeli wote wameiasi sheria yako, wamekuacha wakakataa kukutii. Kwa sababu tumekukosea, tumemwagiwa laana na viapo vilivyoandikwa katika sheria ya Mose, mtumishi wako.

Kumb 30 : 7 " Na laana hizi zote BWANA, Mungu wako, atawatia adui zako na hao wakuchukiao, waliokuwa wakikutesa. "

Kumb 28 : 7 " Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake, nikuagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata. "
 
Kumb 30 : 7 " Na laana hizi zote BWANA, Mungu wako, atawatia adui zako na hao wakuchukiao, waliokuwa wakikutesa. "

Kama MUNGU analaani watu aliowaumba je , sembuse Yesu mwanaye
 
Kwanini yesu alimlaani yuda
MUNGU anaalani ardhi(land) Baada ya Adamu kutenda dhambi.

Mwanzo 13 : 7 " Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;
 
hapo kwenye kila kitu kina chanzo, utaulizwa chanzo cha Mungu Ni Nini na utashindwa kujibu
 
Ina maana Mungu yesu alikuwa hajui kuwa alitakiwa yeye asalitiwe ndo neno litimie?
Au alisahau kuwa alitakiwa kufa.
Kumpa laana YUDA inaonesha yesu hakuupenda KUFA alilazimishwa
 
naomba kujua, Adam alikuwa/aliabudu kwa dini gani?
 
Ina maana Mungu yesu alikuwa hajui kuwa alitakiwa yeye asalitiwe ndo neno litimie?
Je Yesu alikuja duniani Kwa hiari yake mwenyewe au alipangiwa na MUNGU.

Luka 17 : 1-2 " Akawaambia wanafunzi wake, Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye yaja kwa sababu yake! Ingemfaa zaidi mtu huyo jiwe la kusagia lifungwe shingoni mwake, akatupwe baharini....."

Kikwazo Cha uzinifu kikikufata usikipokee , kikatae ili upate baraka na sio laana.
Nataka hujaa Baada ya kushinda vikwazo , kikwazo Cha Yuda alipenda pesa kuliko MUNGU
 
MUNGU Wa Mbinguni sio Allah.

Kwa sababu ,
Allah ana mikono miwili na mikono yote miwili ipo kwenye upande mmoja, ambao ni upande wa kulia( kama shetani / INATISHA )

Sunan an-Nasa'i 5379
"................And both of His hands are right hands......."

Biblia : MUNGU alimuumba Adamu Kwa sura na mfano wake.

Kwa mujibu wa Kuran , Allah ana umbo la shetani (macho , mikono) na pia anabudiwa na majini.
Lakini Kwa mujibu wa Biblia MUNGU wa mbinguni anaabudiwa na vitakatifu na hujitenga mbali na uovu
 
Kaka mbona unaruka ruka Sana?
Ebu tulia ujibu hoja kwa hoja.
Nimetoa andiko yesu anamlaani yuda aliyekuja kumsaliti yaani BORA ASINGEZALIWA.
Mimi nimejenga hoja Kama yesu alitakiwa kufa kwa ajili ya dhambi zenu kwanini alimlaani yuda Ina maana yesu HAKUPENDA KUFA WALIMLAZIMISHA..Kama alipenda kufa ilimbidi amsifu yuda sio kumpa laana
 
Ebu nipe hizo Aya za Quran kuwa ALLAH Ana mikono na miguu
 
Ebu nipe hizo Aya za Quran kuwa ALLAH Ana mikono na miguu
Kwenye Hadith Muhammad alimuona Allah ana mikono miwili na yote ipo upande wa kulia.

Sunan an-Nasa'i 5379
"................And both of His hands are right hands......."
 
Kwenye Hadith Muhammad alimuona Allah ana mikono na miwili na yote ipo upande wa kulia.

Sunan an-Nasa'i 5379
"................And both of His hands are right hands......."
Hadith na Aya za Quran NI vitu viwili tofauti.mwambie aliyekufundisha hyo hadithi akupe na Aya ya Quran kuwa ALLAH Ana miguu na mikono
 
Hadith na Aya za Quran NI vitu viwili tofauti.mwambie aliyekufundisha hyo hadithi akupe na Aya ya Quran kuwa ALLAH Ana miguu na mikono
🤣🤣🤣🤣
Sio moja ya kitabu chenu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio moja ya kitabu chenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaka toa aya usiruke ruke. Au hajakufundisha?
 
Kwenye Hadith Muhammad alimuona Allah ana mikono miwili na yote ipo upande wa kulia.

Sunan an-Nasa'i 5379
"................And both of His hands are right hands......."
hiyo right hands sidhani Kama umeitafsiri ilivyomaanishwa. Neno moja kuwa na maana zaidi ya mbili, kiingereza hiki.
 
Soma aya ya 24.
Kwanini yesu alimlaani yuda kuwa Bora asingezaliwa?
Nioneshe neno Laana kwenye hiyo:

Mathayo 26 : 24- 27 "

24 Mwana wa Adamu aenda zake, kama alivyoandikiwa; lakini ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu! Ingekuwa heri kwake mtu yule kama asingalizaliwa.
25 Yuda, yule mwenye kumsaliti, akajibu, akasema, Ni mimi, Rabi? Akamwambia, Wewe umesema.
Kuasisiwa kwa Chakula cha Bwana
26 Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu
27 Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, Nyweni nyote katika hiki
"
 
'KAMA ASINGEZALIWA"
maana yake nini Kama sio laana?
kwanini yesu alitamani Yule msaliti wake asingezaliwa wakati inatakiwa yeye asalitiwe ili andiko litimie Ina maana alijisahau?au HAKUPENDA KUFA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…