Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

'KAMA ASINGEZALIWA"
maana yake nini Kama sio laana?
kwanini yesu alitamani Yule msaliti wake asingezaliwa wakati inatakiwa yeye asalitiwe ili andiko litimie Ina maana alijisahau?au HAKUPENDA KUFA?
Hivi kusema nisingezaliwa ni Laana? , hiyo ni Hali ya kuepuka jambo zito litakalo kutokea.

Nisingezaliwa ni sawa na kusema Nisingekuwepo.
 
Hivi kusema nisingezaliwa ni Laana? , hiyo ni Hali ya kuepuka jambo zito litakalo kutokea.

Nisingezaliwa ni sawa na kusema Nisingekuwepo.
Ina maana Mama yako na baba yako walikosea kukuzaa
 
Ina maana Mama yako na baba yako walikosea kukuzaa
Hivi ni Bora uzaliwe , alafu ukaishi motoni milele(bila mwisho)

Au ni Bora usizaliwe,
Usijue shida ni nini, njaa ni nini, motoni ni wapi , maumivu ni nini , kiu ni nini?
 
Hivi ni Bora uzaliwe , alafu ukaishi motoni milele(bila mwisho)

Au ni Bora usizaliwe,
Usijue shida ni nini, njaa ni nini, motoni ni wapi , maumivu ni nini , kiu ni nini?
Wewe unaujua mwisho wako itakuwaje?
 
Wewe unaujua mwisho wako itakuwaje?
Sijui.

Na ni Bora nisingezaliwa kama nitaenda kuishi milele motoni.

Mapepo wanayajua mateso ya motoni yapoje

Mathayo 8 : 28 - 29 "
Naye alipofika ng'ambo, katika nchi ya Wagadara, watu wawili wenye pepo walikutana naye, wakitoka makaburini, wakali mno, hata mtu asiweze kuipitia njia ile.
Na tazama, wakapiga kelele, wakisema, Tuna nini nawe, Mwana wa Mungu? Je! Umekuja kututesa kabla ya wakati wetu? "


Ayubu alipoona anapata mateso makali ya majaribu ya shetani alisema ni Bora asingezaliwa :

Ayubu 3:3 " Na ipotelee mbali ile siku niliyozaliwa mimi, Na ule usiku uliosema, Mtoto wa kiume ametungishwa mimba "
 
Kwani si yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zako kwanini unaogopa Moto?
 
Kwani si yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zako kwanini unaogopa Moto?

Mathayo 22 : 14 ' Yesu akamaliza kwa kusema, “Wengi wamealikwa, lakini wachache wameteuliwa.” '

Sio Kila aliyeokoka ataingia mbinguni , Bali aliyeokoka- yule atakae kuwa msafi wa roho katika Siku ya mwisho, ndiye atake ingia mbinguni.

Leo mi msafi , Lakini mi mwanadamu naweza kuangukia kwenye Hali ya dhambi . Na mbaya zaidi ndo ikawa ni Siku yangu ya mwisho,
 
Mwenyezi Mungu yupi!?
1. Wa wayahudi
2. Wa wakristo
3. Wa waislam
4. Wa wahindu
5. Wa wabudha
6. Wa confuism
7. Wa Taoism
Yupi unayemuongelea anakuja kufufua mifupa iliyooza na mingine decayed, imeliwa na funza!? Na kuwa mbolea.
Babu zako walishauliza muda sana na wakajibiwa
Hivi [emoji4]


Surat yasin

وَضَرَبَ لَـنَا مَثَلًا وَّ نَسِىَ خَلۡقَهٗ ؕ قَالَ مَنۡ يُّحۡىِ الۡعِظَامَ وَهِىَ رَمِيۡمٌ‏ ﴿36:78﴾ قُلۡ يُحۡيِيۡهَا الَّذِىۡۤ اَنۡشَاَهَاۤ اَوَّلَ مَرَّةٍ ؕ وَهُوَ بِكُلِّ خَلۡقٍ عَلِيۡمُ ۙ‏ ﴿36:79﴾




36:78 He strikes for Us a similitude and forgot his own creation. He says: “Who will quicken the bones when they have decayed?”

36:79 Say: “He Who first brought them into being will quicken them; He knows well about every kind of creation;
 
Muhammad hajui aendapo ( motoni au mbinguni )

Tunajua manabii na mitume wote wa Biblia wako mbinguni ( kasoro Yuda ).

Lakini ni tofauti kwa upande wa mtume Muhammad , yeye ajui atakwenda wapi na waumini wote alionao hajui kama anawapeleka njia gàni.

Quaran 46 : 9 “ ......... and I do not know what shall be done with me or with you."

-Hii ni sawa na mtu kukupeleka njia na sehemu ambayo haijui, na kukuambia mkipotea , usimlaumu.

Uthibitisho wa (mitume / manabii )wa biblia wakiwa mbinguni:

Ibrahimu yuko mbinguni:
Luka 16 :22 SNT "
Hatimaye, yule maskini alikufa. Malaika wakamchukua akakae pamoja na Ibrahimu mbinguni. Yule tajiri naye pia akafa, akazikwa. "
 
Na yuda eskarioti aliyemsaliti YESU mpaka akauliwa na wayahudi anaenda wapi motoni au peponi
 
Masiha ndiye mtoa adhabu.
Tusuburi Siku ya mwisho , utajua anaendeleaje huko aliko.
Kwani NYIE dhambi zenu hamjasamehewe kumbe?
Sasa mtu aliyesaidia NYIE kusamehewa atakuwaje na dhambi!?
 
Kwani mifupa kumbe iliubwa!? Mimi sikujua hilo. Kwa mujibu wa biology mifupa ni scientific process na siyo kuumbwa.
Nani aliiumba mifupa!?
Unaposema 'Scientific process' huo ni mchakato tu wa kisayansi. Sasa jiulize huo mchakato unafanywa na nani? Je wewe unaweza kufanya hiyo scientic process ukatoa mifupa iungane na nyama atoke mtu from nowhere?
 
Kwani NYIE dhambi zenu hamjasamehewe kumbe?
Sasa mtu aliyesaidia NYIE kusamehewa atakuwaje na dhambi!?
Enzi za Ibrahimu , Musa , Isaka na Yakobo - kondoo alichinjwa kama sadaka na damu ilitumika kama upatanisho wa MUNGU na aliyefanya dhambi.

Kwa hiyo damu ya kondoo ilitumika kama kipatanisho.

Je , Kwa nini kondoo ndiye aliyetumika katika kumfutia mtu dhambi, Na sio mbuzi au nguruwe
- Upole na Utulivu na Usafi wa kondoo.

Baada Yesu aliposulubiwa msalabani na damu yake kupatikana , MUNGU hapokei tena sadaka ya kondoo ili amfutie mtu dhambi.

Kwa hiyo Sasa unatubu tu , habari ya kutoa sadaka hakuna.

Kwa hiyo : tunameza Panadol ili kuondoa maumivu ambayo tayari yapo.
Na siyo tunameza Panadol kama Kinga ya kichwa kikija kuuma kizuie
 
Hebu tuondolee takataka hapa za imani ya kiislam. Hapa duniani waislamu hawazidi hata 1% ya population.
Huo umbumbumbu wa hadithi za akina abunuasi usituletee kwenye vitu serious.
Hizo imani za waarabu za kujiua ni upumbavu wa kwanza.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…