Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hebu onyesha za kwako ambazo sio mbovu. Halafu ujue jezi hazichezi mpira uwanjani wala hazihusiki kwa matokeo kwenye mechi.Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa
Tangu anaanza watu nikuponda tu ila ndio hizo hizo watu wanashine na wamepata tuzo ya jezi bora africa!Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa
Duh tuzo za jezi bora Africa zimetolewa na nani? Lini? Na wapi?Tangu anaanza watu nikuponda tu ila ndio hizo hizo watu wanashine na wamepata tuzo ya jezi bora africa!
Caf!Duh tuzo za jezi bora Africa zimetolewa na nani? Lini? Na wapi?
ashakunywa wanzuki huyu msameheDuh tuzo za jezi bora Africa zimetolewa na nani? Lini? Na wapi?
Tuzo ilitoka kwa mhasibu OKW BOBAN SUNZU au?Tangu anaanza watu nikuponda tu ila ndio hizo hizo watu wanashine na wamepata tuzo ya jezi bora africa!
5 ni nyingi lazima akili zirukeTangu anaanza watu nikuponda tu ila ndio hizo hizo watu wanashine na wamepata tuzo ya jezi bora africa!
Labda kama Jwaneng Galaxy hawapoJezi haichezi mpira,..Simba anakwenda robo fainali tena kwa kishindo
Sijui kwànini mtu ukiwa utopolo lazima uwe mwehuHongera Yanga kwa kuifundisha Simba kuwa hii ni fursa. Yanga walikuwa wakwanza kutengeneza jezi yenye logo ya mdhamini mwingine (Haier).
NB: Jezi lenu baya lina makolo kolo mengi nyie kweli madunduka 5 zimewachanganya.
Acha bangi nani alitoa hiyo tuzoTangu anaanza watu nikuponda tu ila ndio hizo hizo watu wanashine na wamepata tuzo ya jezi bora africa!
Kama nye zilivyowaruka kwa zile 6-0 na 5-0 ,mna experience kubwa5 ni nyingi lazima akili ziruke
Kapokea try again kwani unaishi dunia gani muuza bangi!Acha bangi nani alitoa hiyo tuzo