kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Raisi wa caf kupitia raisi wa fifa!Tuzo ilitoka kwa mhasibu OKW BOBAN SUNZU au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raisi wa caf kupitia raisi wa fifa!Tuzo ilitoka kwa mhasibu OKW BOBAN SUNZU au?
Tano nini sasa!5 ni nyingi lazima akili ziruke
Na RageDuh tuzo za jezi bora Africa zimetolewa na nani? Lini? Na wapi?
Hakuna kombe la robo fainaliJezi haichezi mpira,..Simba anakwenda robo fainali tena kwa kishindo
Mbu Mbu MbuTangu anaanza watu nikuponda tu ila ndio hizo hizo watu wanashine na wamepata tuzo ya jezi bora africa!
Aibu hii ya kufungia mwaka, CAF walitoa lini tuzo za jezi bora Africa?Caf!
Aibu vipi wewe hujui kama simba wamepokea tuzo ya mashabiki bora wa mashindano ya caf!Aibu hii ya kufungia mwaka, CAF walitoa lini tuzo za jezi bora Africa?
Mbona hapo juu ulisema tuzo za jezi bora Africa? Au unadhani risiti yako hatuna?Aibu vipi wewe hujui kama simba wamepokea tuzo ya mashabiki bora wa mashindano ya caf!
Wewe utakuwa utopolo.Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa.
View attachment 2821702
View attachment 2821698
Walitupiga 5 wakiwa na jezi zao kaliHebu onyesha za kwako ambazo sio mbovu. Halafu ujue jezi hazichezi mpira uwanjani wala hazihusiki kwa matokeo kwenye mechi.
Huku nilipo muda huu ni usiku nahitaji kulala unazingua bwasheeMbona hapo juu ulisema tuzo za jezi bora Africa? Au unadhani risiti yako hatuna?
Duh mkuu acha kamba, tuzo ya jezi Africa bora imetoka lini?Tangu anaanza watu nikuponda tu ila ndio hizo hizo watu wanashine na wamepata tuzo ya jezi bora africa!
Mbona hapo juu ulisema tuzo za jezi bora Africa? Au unadhani risiti yako hatuna?
Duh mkuu acha kamba, tuzo ya jezi Africa bora imetoka lini?
Duh mkuu wewe unaishi dunia yako peke yako, ile ni tuzo ya mashabiki bora wa AFL na imetolewa tu kwa sababu mashindano yalifunguliwa hapa kwa mkapa.Kapokea try again kwani unaishi dunia gani muuza bangi!
Ubovu wake ni upi?Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa.
View attachment 2821702
View attachment 2821698
Haya umeshinda!Duh mkuu wewe unaishi dunia yako peke yako, ile ni tuzo ya mashabiki bora wa AFL na imetolewa tu kwa sababu mashindano yalifunguliwa hapa kwa mkapa.