Mtani wa Taifa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2023
- 953
- 3,318
Niamkie mkuuHaya umeshinda!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niamkie mkuuHaya umeshinda!
Kwa hio zimekuruka?
Hapo kwenye matako kuna [emoji2772]
Samahani Hizi ni jezi za Simba au ni Jezi za Mo Products zenye Logo ya Simba kama moja ya product yake ?.Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa.
View attachment 2821702
View attachment 2821698
A/aleykum warahmatullah wabarakatuh!Niamkie mkuu
AahaaaaAibu hii ya kufungia mwaka, CAF walitoa lini tuzo za jezi bora Africa?
Aliye design logo ya MO Foundation kaipatia sana daaaah na designer alichagua eneo zuri la kuiweka.
Hii tuzo ilitolewa na Mo foundation?Tangu anaanza watu nikuponda tu ila ndio hizo hizo watu wanashine na wamepata tuzo ya jezi bora africa!
Jezi zinahusika saana tu,na ndo maana ku a wadhamini. Time isiyofanya vizuri kwenye mashindano wadhamini hawawezi kuwekezaHebu onyesha za kwako ambazo sio mbovu. Halafu ujue jezi hazichezi mpira uwanjani wala hazihusiki kwa matokeo kwenye mechi.