Sandaland amezindua jezi mbovu za Simba kuelekea Ligi ya Mabingwa Afrika

Jezi si mbaya, tatizo ni matangazo yanayofanana kujitokeza kwenye jezi moja
 
Hebu onyesha za kwako ambazo sio mbovu. Halafu ujue jezi hazichezi mpira uwanjani wala hazihusiki kwa matokeo kwenye mechi.
Jezi zinahusika saana tu,na ndo maana ku a wadhamini. Time isiyofanya vizuri kwenye mashindano wadhamini hawawezi kuwekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…