Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Limefikaje huko?Lipo Iraq
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limefikaje huko?Lipo Iraq
LabdaHuenda waethiopia wenyewe ndo waizrail walokusudiwa
Nani aliipeleka huko?Mimi nilivyoelewa lipo mbinguni au?
Nimekufatilia ila sijapata mwangaFwatilia mambo utajua
mwenye naloNani aliipeleka huko?
Hii taarifa ina uhusiano gani na sanduku la agano mtimishi?Shetani ndiye mungu wa dunia hii, lakini kwa sasa hana mamlaka kamili ya kuitawala, kwa sababu yupo azuiaye hilo katika kipindi hiki cha uwepo wa kanisa la kweli.
Kama ilivyokuwa kwa uhusiano wa moja kwa moja wa mamlaka ya kiungu na kimwili kati Mungu Mkuu wa kiroho na Yesu Kristo aliyezaliwa katika mwili wa kibinadamu. Ndivyo ambavyo Shetani aliyeumbwa katika mwili wa kiroho amekwisha kumuandaa mzaliwa wake wa kipekee wa kibinadamu na ambaye atamkasimisha mamlaka yake yote ya kuitawala dunia.
Mtu huyo tayari amekwisha zaliwa na yupo sehemu fulani sasa hivi yupo duniani, lakini kinachosubiriwa ni majira ya kudhihirika kwake. Dunia itaanza kumtambua kama mtu wa Amani ambaye ndiye atakayewezesha ujenzi "hekalu la 3 pale Yerusalemu, na kurejesha ibada za kuteketeza za Kiyahudi.
Changamoto pekee iliyopo ni sehemu litakapo jengwa hekalu tarajiwa. Kwa kuwa ni sehemu ambapo upo msikiti maarufu wa Al Aqsa, ambao ni sehemu bora namba 3 ya utakatifu kutokana na imani ya dini ya Kiislamu.
Mimi hapa ndo huwa nazima fegi.Sasa lilibebwaje ikiwa kuligusa tuu UNAKUFA.
Monduli hii hii ambayo ni wilaya ya Arusha ?...🙄🙄kuna tetesi ya kuwa hapa Tanzania kwenye misitu ya monduli kuna chombo chenye mfano wa sanduku la agano, ambacho kiliachwa hapo na majeshi ya Ujerumani enzi za ukoloni. Inasemekana kuwa chombo hicho kina miujiza na mambo mengi ya ajabu na kutisha.
Yes mwambaMonduli hii hii ambayo ni wilaya ya Arusha ?...🙄🙄
Hata vita ya Mussolini na Ethiopians kuna baadhi ya vitu waitaliano waliiba na kwenda navyo Italy, ila walivirudisha baada ya kuwa kama vinawakataa na kuwaletea usumbufu.Kwenye wimbo wa ''Addis Ababa'' kuna mahali Joseph Hill (Culture) anaimba anasema
The Babylon (Wazungu mabepari) there, they wanted to take away the Ark of the covernat (sanduku la agano) from yoo'' yaani (Ethiopians)....The ark of the covenant cannot be taken away from Addis Ababa
So wao wanaamini lipo Addis Ababa - Ethiopia
Pia Benito Mussolini (mwaka 1934) aliivamia Ethiopia kwa lengo la kuchukua Sanduku la Agano lakini hawakufanikiwa kushinda vile na kuchukua sanduku.
Hacha Mambo ya ajabu wewe.Lipo ethiopia , suleiman alimhunga binti mrembo queen of sheba
Huyo mhabeshi aliitikisa dunia kwa wakati huo mkubwa, na mzee wa totoz suleiman alilegea akatoa mpaka siri za wayahudi kwa manzi huyo, na hata uki search au kuwatafiti wayahudi wa ethiopia wanadai sanduku hilo lipo kwenye moja ya hekalu laoHacha Mambo ya ajabu wewe.
Unajua alikua na wake wangapi wewe??, adi uje umtaje uyo malikia wa Sheba, kwanini husimtaje mtoto wa pharaoh mke mwenza?? etc...