Sanduku la Agano liko wapi?

Sanduku la Agano liko wapi?

Kama lilikuwa linashikwa na wana wawalawi na hakuna mwingine aliyelishika na akitokea ameshika anakufa basi itakuwa lilipotea mana hakuna mwingine aliyeruhusiwa kulishika
Mungu alifanya kwa hekma zake ili watu wasiendelee kufa
 
Shetani ndiye mungu wa dunia hii, lakini kwa sasa hana mamlaka kamili ya kuitawala, kwa sababu yupo azuiaye hilo katika kipindi hiki cha uwepo wa kanisa la kweli.

Kama ilivyokuwa kwa uhusiano wa moja kwa moja wa mamlaka ya kiungu na kimwili kati Mungu Mkuu wa kiroho na Yesu Kristo aliyezaliwa katika mwili wa kibinadamu. Ndivyo ambavyo Shetani aliyeumbwa katika mwili wa kiroho amekwisha kumuandaa mzaliwa wake wa kipekee wa kibinadamu na ambaye atamkasimisha mamlaka yake yote ya kuitawala dunia.

Mtu huyo tayari amekwisha zaliwa na yupo sehemu fulani sasa hivi yupo duniani, lakini kinachosubiriwa ni majira ya kudhihirika kwake. Dunia itaanza kumtambua kama mtu wa Amani ambaye ndiye atakayewezesha ujenzi "hekalu la 3 pale Yerusalemu, na kurejesha ibada za kuteketeza za Kiyahudi.

Changamoto pekee iliyopo ni sehemu litakapo jengwa hekalu tarajiwa. Kwa kuwa ni sehemu ambapo upo msikiti maarufu wa Al Aqsa, ambao ni sehemu bora namba 3 ya utakatifu kutokana na imani ya dini ya Kiislamu.
 
Hii taarifa ina uhusiano gani na sanduku la agano mtimishi?
 
(Kama ilivyoandikwa mtandaoni...)

Kilichotokea kwa sanduku la Agano ni swali ambalo linavutia sana wanatiolojia , wanafunzi wa Biblia, na wanaakiolojia kwa karne nyingi. Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wake, Yosia, mfalme wa Yuda aliamuru waangalizi wa sanduku la Agano wairudishe hekalu la Yerusalemu (2 Mambo ya Nyakati 35: 1-6; linganisha na 2 Wafalme 23: 21-23). Hiyo ni mara ya mwisho eneo la sanduku linatajwa katika maandiko. Miaka arobaini baadaye, Mfalme Nebukadneza wa Babiloni aliteka nyara Yerusalemu na kuvamia hekalu . Chini ya miaka kumi baadaye, alirudi, akachukua kilichobaki kwa hekalu, na kisha kuiteketeza na mji kabisa kabisa. Hivyo nini kilichofanyika kwa sanduku?Je, lilichukuliwa na Nebukadreza? Je, liliharibiwa pamoja na mji? Au liliondolewa na kufichwa salama mbali, kama ilivyo dhahiri kilichotokea wakati Farao Shishaki wa Misri alivamia hekalu wakati wa utawala wa mwanawe Sulemani Rehoboamu? ("Ni wazi kwamba" kwa sababu, kama Shishaki aliweza kuchukua sanduku, kwa nini Yosia aliuliza Walawi kulirudisha? Kama sanduku lilikuwa Misri-à la ngome ya Washambulizi wa sanduku lililopotea- Walawi hawangelimiliki na kwa hivyo hawangelirudisha.)

Kitabu cha mashirika yasiyo ya kisheria cha 2 Wamakabayo kinaarifu kuwa tu kabla ya uvamizi wa Babeli, Yeremia, "akifuata ufunuo wa Mungu, akaamuru kuwa hema takatifu na sanduku lazima aandamane nazo na ... alienda kwa mlima ambao Musa alipanda kuona urithi wa Mungu [yaani, Mlima Nebo; cf. Kumbukumbu la Torati 31: 1-4]. Wakati Yeremia alipofika pale, akakuta chumba katika pango ambapo aliweka hema, sanduku, na madhabahu ya kugadhabisha; kisha akafunga mlango "(2: 4-5). Hata hivyo, "Baadhi ya wale ambao walimfuata walikuja wakiwa na madhumuni ya kuijua njia, lakini hawakuweza kuipata. Wakati Yeremia aliposikia hayo, aliwashutumu: 'mahali hapo pangepakia bila kujulika hadi Mungu akusanya watu wake pamoja tena na kuwaonyesha huruma. Kisha Bwana ataweka wazi mambo haya, na utukufu wa Bwana utaonekana katika wingu, tu kama ulivyoonekana katika wakati wa Musa na wakati Sulemani aliomba kwamba Hekalu litakazwe kwa utukufu '"(2: 6-8) .haijulikani ikiwa hili liokwishatumika (tazama 2: 1) andiko ni sahihi; hata kama ni sahihi, hatutaweza kujua mpaka Bwana arudi tena, kama andiko lenyewe linadai.

Nadharia zingine kuhusu mahali lilipo sanduku lililopotea ni pamoja na madai ya Rabbis Shlomo Goren na Yehuda Getz kwamba limefichwa chini ya mlima hekalu, likiwa limezikwa huko kabla ya Nebukadreza kuweza kuliiba. Kwa bahati mbaya,mlima hekalu sasa ni nyumbani kwa kuba ya mwamba,eneo takatifu la kiislamu, na jamii ya Waislamu inakataa kuruhusu ichimbuliwe. Hivyo hatuwezi kujua kama Rabbis Goren na Getz wako sawa.
 
Au ndo lile wale mabinti wameliiba kwenye tamthilia ya kina Osman ya The ottoman? Hahaaaa
 
Wale wanaodanganya kuwa manabii wa zamani kuanzia abraham walikuwa ni waamini wa ile imani ya kibla wanaweza kusema wanayo ndio wamefukia pale kwenye kale kasanduku keusi wanako kazungukaga na baadaye kumpiga thetani asiyeonekana mawe
 
Lipo ethiopia , suleiman alimhunga binti mrembo queen of sheba
 
kuna tetesi ya kuwa hapa Tanzania kwenye misitu ya monduli kuna chombo chenye mfano wa sanduku la agano, ambacho kiliachwa hapo na majeshi ya Ujerumani enzi za ukoloni. Inasemekana kuwa chombo hicho kina miujiza na mambo mengi ya ajabu na kutisha.
Monduli hii hii ambayo ni wilaya ya Arusha ?...🙄🙄
 
Kwenye wimbo wa ''Addis Ababa'' kuna mahali Joseph Hill (Culture) anaimba anasema

The Babylon (Wazungu mabepari) there, they wanted to take away the Ark of the covernat (sanduku la agano) from yoo'' yaani (Ethiopians)....The ark of the covenant cannot be taken away from Addis Ababa

So wao wanaamini lipo Addis Ababa - Ethiopia

Pia Benito Mussolini (mwaka 1934) aliivamia Ethiopia kwa lengo la kuchukua Sanduku la Agano lakini hawakufanikiwa kushinda vile na kuchukua sanduku.
Hata vita ya Mussolini na Ethiopians kuna baadhi ya vitu waitaliano waliiba na kwenda navyo Italy, ila walivirudisha baada ya kuwa kama vinawakataa na kuwaletea usumbufu.
 
Yan ndo lilokuwa ushibitisho tosha. Ila mm najua lipo hapa hapa duniani kuna wajuba wanalo mbaya zaid hawawes kufanyia chochote
 
Lipo ethiopia , suleiman alimhunga binti mrembo queen of sheba
Hacha Mambo ya ajabu wewe.
Unajua alikua na wake wangapi wewe??, adi uje umtaje uyo malikia wa Sheba, kwanini husimtaje mtoto wa pharaoh mke mwenza?? etc...
 
Hacha Mambo ya ajabu wewe.
Unajua alikua na wake wangapi wewe??, adi uje umtaje uyo malikia wa Sheba, kwanini husimtaje mtoto wa pharaoh mke mwenza?? etc...
Huyo mhabeshi aliitikisa dunia kwa wakati huo mkubwa, na mzee wa totoz suleiman alilegea akatoa mpaka siri za wayahudi kwa manzi huyo, na hata uki search au kuwatafiti wayahudi wa ethiopia wanadai sanduku hilo lipo kwenye moja ya hekalu lao
 
Back
Top Bottom