Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walilenga ninInasemekana bablon walilibeba japokuwa hawakuliweka kwenye list ya vitu, na inasemekana kwamba lilikaa mpaka nchi ile kuitwa Iraq, hata vita ya juzi wamarekani walililenga wao
Ungesema hoja yako vizuri tu bila kuchokoza mani zingine...hakuna na wala hatotokea mtu wa imani ya kibla kusema hilo sanduku liko Ka'abah! kuhusu kumpiga shetani asiyeonekana mawe...ajabu kuna shetani anayeonekana!?Wale wanaodanganya kuwa manabii wa zamani kuanzia abraham walikuwa ni waamini wa ile imani ya kibla wanaweza kusema wanayo ndio wamefukia pale kwenye kale kasanduku keusi wanako kazungukaga na baadaye kumpiga thetani asiyeonekana mawe
Nebuchadnezzar anajua Saduku alikolipeleka. Yaonekana huyu Mfalme alitaka kutawala ulimwengu mpaka Mwenyezi Mungu akaingilia kati baada ya Kufuru na dhihaka zake. Kuna vyombo aliviiba kule Jerusalemu baada ya kumuua mfalme Sadekia na maaskari wake akavamia Hekalu akapora vyombo vyote yawezekana na Sanduku la Agano likabebwa kwenda Babiloni, hii ilikuwa dhihaka kubwa kwa wana wa Islael kwa kweli.Halitajwi kati ya vyombo vilivyopelekwa Babiloni hekalu lilipohabiriwa mwaka wa 607 K.K. wala halitajwi kati ya vyombo vilivyorudishwa Yerusalemu baadaye.—2 Wafalme 25:13-17; Ezra 1:7-11
😂 😂 😂Sasa lilibebwaje ikiwa kuligusa tuu UNAKUFA.
Alisokika rasta wa sinzaLipo Ethiopia na linalindwa kinoma mwaka huu January walikufa watu zaidi ya mia nane wakijaribu kulilinda.
Alafu musa hakumuona mungu zaidi ya isharaze na sautiyeHuu ni mfano wa sanduku la agano ambalo wana wa Israel waliambiwa watengeneze na Mussa wakiwa nyikani wakitoka Egypt (Misri) wakielekea promised land (Nchi ya ahadi). Sanduku hilo lilikuwa ni kama box la mbao lililotengenezwa na aina moja ya mbao inayoitwa (acacia wood) iliyofunikwa na dhahabu. Lilikuwa la urefu wa 1.15 metres, upana wa 0.7 metres na kimo cha 0.7 metres.
Ilikuwa inabebwa na mishikio miwili mirefu ambayo ilikuwa imetengenezwa kwa mbao hiyo ya acasia ambazo pia zilikuwa zimefunikwa na dhahabu. Juu ya sanduku kuliwekwa makerubi wawili waliokuwa wamegeukiana mabawa yao yakiwa yamegusana. Uwepo wa Mungu haukuwepo ndani ya sanduku bali ulikuwa juu yake katikati ya hao makerubi.
Uwepo wa Mungu juu ya sanduku hilo ulikuwa kama nuru. Kuhani mkuu alipaswa kufunika macho asiione nuru hiyo ("hakuna mwanadamu anionaye na akaishi" Kutoka 33 : 20) kila alipokuwa akiingia lilipokuwa sanduku ambapo ni patakatifu pa patakatifu.
Hapa ndipo ambapo Mungu alipokuwa akiionana na Musa. Sanduku hili lilikuwa likibebwa na wana wa Walawi pekeyake hakuna mwingine aliyeruhusiwa kulishika, yeyote aliyedhubutu kulishika pasiporuhusiwa alikufa papohapo. Hao makerubi wawili wanawakilisha utukufu wa Mungu. Ndani ya sanduku hili kulikuwa na:
Sanduku hilo lilikuwa linakaa patakatifu pa patakatifu, chumba cha ndani kabisa katika hema la kukutania. Aliyekuwa anaruhusiwa kuingia mahala hapo lilipokuwa sanduku hilo ni kuhani mkuu na alikuwa anaruhusiwa kuingia mara moja kwa mwaka. Kabla ya Kuhani mkuu kuingia patakatifu pa patakatifu alikuwa ni lazima aingie na damu ya mwana kondoo kwa niaba ya dhambi zake yeye mwenyewe na dhambi za wana wa Israel.
- Mawe mawili yaliyokuwa yameandikwa amri kumi za Mungu
- Fimbo ya Aron iliyoota mauwa
- Chombo cha dhahabu kilichokuwa na manna waliyokula wana wa Israel nyikani
View attachment 1760924
Sanduku la agano lilikuwa ndani ya hekalu lililojengwa na Solomon mpaka hekalu hilo lilipokujwa kuvunjwa mikononi mwa utawala wa Babylon ukioongozwa na Nebuchadnezzar. Kilichotokea kwa sanduku hilo hakijulikani ingawa haiwezekani kuwa lilichukuliwa na majeshi ya Babylon kama vilivyochukuliwa vyombo vingine vya hekalu kwasababu katika list ya vitu walivyovichukua sanduku la agano halikutajwa.
Halitajwi kati ya vyombo vilivyopelekwa Babiloni hekalu lilipohabiriwa mwaka wa 607 K.K. wala halitajwi kati ya vyombo vilivyorudishwa Yerusalemu baadaye.—2 Wafalme 25:13-17; Ezra 1:7-11
Kulingana na baadhi ya vyanzo vya habari inasemekana kuwa mfalme Josiah, mmojawapo wa wafalme wa mwisho kutawala enzi za hekalu la kwanza, kutokana na unabii uliokuwa umetolewa alijua kuwa Jerusalem itavamiwa na Babylon, akalificha sanduku la agano.
Alipolificha sanduku imekuwa kitendawili. Chanzo kingine cha habari kinasema kuwa mfalme Solomon alionyeshwa kuwa Hekalu litakujwa kuvunjwa na majeshi ya Babylon, kwahiyo akaandaa pango karibu na bahari ya shamu (dead sea) ambapo Josiah akaja kulificha sanduku.
Na pia inasemekana nabii Yeremia (Jeremiah) alilificha sanduku chini ya Hekalu lililojengwa na Solomon.
HEKALU LA MBINGUNI
Alifia mlima Nebo na kuzikwa na MunguKaburi la Musa liko wapi? Tungeanzia hapo ndio tuelekee kuuliza sanduku la agano liko wapi? Vingekuwepo hivi na aina ya akili za watu wa kizazi hiki vingesha geuzwa kuwa ibada za sanamu. Watu wanaomuamini mfalme zamuradi ama sheikh majini loooo?!
Kaburi la Musa liko wapi? Tungeanzia hapo ndio tuelekee kuuliza sanduku la agano liko wapi? Vingekuwepo hivi na aina ya akili za watu wa kizazi hiki vingesha geuzwa kuwa ibada za sanamu. Watu wanaomuamini mfalme zamuradi ama sheikh majini loooo?!
Hakuna ukweliKwa habati za tafiti na vitabu nilibyosoma sanduku la agano la kale lipo Ethiopia limefichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app