Sanduku la kura lirudi mahala pake, tuchague viongozi tuwatakao

KaZi yetu walinzi wa Nchi kiroho, ni kusimama juu ya Kuta na minara mirefu na katika malango ya nchi na kupiga baragumu Ili kuonyesha hatari iliyo mbele yetu Kwa kuruhusu najisi kwenye Sanduku la kura.

Mwenye masikio kusikia na asikie.

" Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ni sasa".
 
Siku Watanzania wakitaka na kuamua, sanduku la kura litarejea bila simile. Bado.

Btw jaribu pia kuwauliza Watanzania maoni yao kuhusu umuhimu wa kuwa na demokrasia nchini au la.

Huwa nakutana na majibu mengi ya kushangaza sana kiasi cha kutoelewa ni mfumo gani hasa wa siasa wananchi wengi wanataka kuuona nchini - zaidi ya lengo la kuipumzisha CCM hii iliyogeuka extremely toxic.
 
Salaam, shalom!

Kwa kuwa kura halali zilitiwa ndani ya Sanduku la kura zikichangamana na kura fake tena chini ya usimamizi wa waandalizi wa uchaguzi wenyewe kama asemavyo Judge Warioba, zoezi Zima linageuka kuwa haramu.

Tunaweza kujisahihisha Kwa kufuta huu uchafuzi na kurudisha Sanduku la kura mahala pake Ili kuwachagua na kuwakataa viongozi tutakavyo Kwa HAKI na uwazi kabisa. Kwamba 2025 tukachagua viongozi wa mitaa Oct 27, October 28, tukachagua diwani, Mbunge na Ile ya juu Kwa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi.

"Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ni sasa."

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Amen
Ngunu sana.
Ukishazoea vya kunyonga vya kuchinja huwezi tena
 
Lazima wawepo wasemao Rudisha,

Na imekuwa.

Huwezi kunajisi Sanduku la kura ukawa na maendeleo.

Enough is enough.

Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ni sasa.
Taasisi yoyote ni watu, tume, serikali na vyombo vya dola bila watu wenye weledi, waadilifu, wazalendo, wenye akili nzuri, hekima na busara, sheria na maandishi mengine hayatabadilisha chochote.
Katiba na sheria zilizopo haziruhusu uovu na kura bandia.
Katiba mpya na tume huru lazima viende sambamba na kusafisha watu waovu kwenye ofisi za uma.
 
Salaam, shalom!

Kwa kuwa kura halali zilitiwa ndani ya Sanduku la kura zikichangamana na kura fake tena chini ya usimamizi wa waandalizi wa uchaguzi wenyewe kama asemavyo Judge Warioba, zoezi Zima linageuka kuwa haramu.

Tunaweza kujisahihisha Kwa kufuta huu uchafuzi na kurudisha Sanduku la kura mahala pake Ili kuwachagua na kuwakataa viongozi tutakavyo Kwa HAKI na uwazi kabisa. Kwamba 2025 tukachagua viongozi wa mitaa Oct 27, October 28, tukachagua diwani, Mbunge na Ile ya juu Kwa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi.

"Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ni sasa."

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Amen
Muhimu zaidi ni kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura.

Jambo la maana zaidi ni kuondokana na dhana potofu ya kuibiwa kura ambayo huna na hukua na sifa wala haki ya kupiga kura 🐒
 
Bila katiba mpya hilo sahau - CCM haiwezi kukabidhi dola kizembe hivyo.
 
Salaam, shalom!

Kwa kuwa kura halali zilitiwa ndani ya Sanduku la kura zikichangamana na kura fake tena chini ya usimamizi wa waandalizi wa uchaguzi wenyewe kama asemavyo Judge Warioba, zoezi Zima linageuka kuwa haramu.

Tunaweza kujisahihisha Kwa kufuta huu uchafuzi na kurudisha Sanduku la kura mahala pake Ili kuwachagua na kuwakataa viongozi tutakavyo Kwa HAKI na uwazi kabisa. Kwamba 2025 tukachagua viongozi wa mitaa Oct 27, October 28, tukachagua diwani, Mbunge na Ile ya juu Kwa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi.

"Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ni sasa."

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Amen
Hivi vitu ni kawaida humu nchini kwetu na hatuna cha kufanya kwahiyo twendeni tu hivyo. Hakuna jinsi. Vyama vya upinzani ndiyo hivyo vinaparurana vyenyewe kwa vyenyewe unaambiwa kuna vyama 13 marafiki wa sisimu kunavyama vitatu mamluki kuna chama kimoja mateka kwahiyo chama kilicho Baki ni CHAUMA tu tukishanda tunakula ubwabwa.
 
TUNDU Lissu anaongea lugha iliyonyooka sana.

Hatutasusia, tutadai HAKI na usafi kwenye Sanduku la kura.

Tofauti na hapo, uchaguzi utayeyuka!
 
Salaam, shalom!

Kwa kuwa kura halali zilitiwa ndani ya Sanduku la kura zikichangamana na kura fake tena chini ya usimamizi wa waandalizi wa uchaguzi wenyewe kama asemavyo Judge Warioba, zoezi Zima linageuka kuwa haramu.

Tunaweza kujisahihisha Kwa kufuta huu uchafuzi na kurudisha Sanduku la kura mahala pake Ili kuwachagua na kuwakataa viongozi tutakavyo Kwa HAKI na uwazi kabisa. Kwamba 2025 tukachagua viongozi wa mitaa Oct 27, October 28, tukachagua diwani, Mbunge na Ile ya juu Kwa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi.

"Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ni sasa."

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Amen
Sanduku la Kura limetekwa na ccm
 
Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom