900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Iko cku nchi hii itaponywa na laana ya CCM baada ya sanduku la Kura kurudishwa Kwa wananchi toka Kwa watekaji ccmMuhimu zaidi ni kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura.
Jambo la maana zaidi ni kuondokana na dhana potofu ya kuibiwa kura ambayo huna na hukua na sifa wala haki ya kupiga kura 🐒