Ngunu sana.Salaam, shalom!
Kwa kuwa kura halali zilitiwa ndani ya Sanduku la kura zikichangamana na kura fake tena chini ya usimamizi wa waandalizi wa uchaguzi wenyewe kama asemavyo Judge Warioba, zoezi Zima linageuka kuwa haramu.
Tunaweza kujisahihisha Kwa kufuta huu uchafuzi na kurudisha Sanduku la kura mahala pake Ili kuwachagua na kuwakataa viongozi tutakavyo Kwa HAKI na uwazi kabisa. Kwamba 2025 tukachagua viongozi wa mitaa Oct 27, October 28, tukachagua diwani, Mbunge na Ile ya juu Kwa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi.
"Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ni sasa."
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA πΉπΏ
Amen
HAKI haiombwi.Ngunu sana.
Ukishazoea vya kunyonga vya kuchinja huwezi tena
Taasisi yoyote ni watu, tume, serikali na vyombo vya dola bila watu wenye weledi, waadilifu, wazalendo, wenye akili nzuri, hekima na busara, sheria na maandishi mengine hayatabadilisha chochote.Lazima wawepo wasemao Rudisha,
Na imekuwa.
Huwezi kunajisi Sanduku la kura ukawa na maendeleo.
Enough is enough.
Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ni sasa.
Muhimu zaidi ni kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura.Salaam, shalom!
Kwa kuwa kura halali zilitiwa ndani ya Sanduku la kura zikichangamana na kura fake tena chini ya usimamizi wa waandalizi wa uchaguzi wenyewe kama asemavyo Judge Warioba, zoezi Zima linageuka kuwa haramu.
Tunaweza kujisahihisha Kwa kufuta huu uchafuzi na kurudisha Sanduku la kura mahala pake Ili kuwachagua na kuwakataa viongozi tutakavyo Kwa HAKI na uwazi kabisa. Kwamba 2025 tukachagua viongozi wa mitaa Oct 27, October 28, tukachagua diwani, Mbunge na Ile ya juu Kwa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi.
"Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ni sasa."
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA πΉπΏ
Amen
Hivi vitu ni kawaida humu nchini kwetu na hatuna cha kufanya kwahiyo twendeni tu hivyo. Hakuna jinsi. Vyama vya upinzani ndiyo hivyo vinaparurana vyenyewe kwa vyenyewe unaambiwa kuna vyama 13 marafiki wa sisimu kunavyama vitatu mamluki kuna chama kimoja mateka kwahiyo chama kilicho Baki ni CHAUMA tu tukishanda tunakula ubwabwa.Salaam, shalom!
Kwa kuwa kura halali zilitiwa ndani ya Sanduku la kura zikichangamana na kura fake tena chini ya usimamizi wa waandalizi wa uchaguzi wenyewe kama asemavyo Judge Warioba, zoezi Zima linageuka kuwa haramu.
Tunaweza kujisahihisha Kwa kufuta huu uchafuzi na kurudisha Sanduku la kura mahala pake Ili kuwachagua na kuwakataa viongozi tutakavyo Kwa HAKI na uwazi kabisa. Kwamba 2025 tukachagua viongozi wa mitaa Oct 27, October 28, tukachagua diwani, Mbunge na Ile ya juu Kwa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi.
"Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ni sasa."
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA πΉπΏ
Amen
Hatutawaomba wakubali,Mboga mboga watakubali?
Sanduku la Kura limetekwa na ccmSalaam, shalom!
Kwa kuwa kura halali zilitiwa ndani ya Sanduku la kura zikichangamana na kura fake tena chini ya usimamizi wa waandalizi wa uchaguzi wenyewe kama asemavyo Judge Warioba, zoezi Zima linageuka kuwa haramu.
Tunaweza kujisahihisha Kwa kufuta huu uchafuzi na kurudisha Sanduku la kura mahala pake Ili kuwachagua na kuwakataa viongozi tutakavyo Kwa HAKI na uwazi kabisa. Kwamba 2025 tukachagua viongozi wa mitaa Oct 27, October 28, tukachagua diwani, Mbunge na Ile ya juu Kwa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi.
"Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ni sasa."
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA πΉπΏ
Amen
Tunalitaka na HAKI yake.Sanduku la Kura limetekwa na ccm
Akatembeze kifua kipana mjiniSasa Mchengerwa atafanya kazi gani?
Enough is enough.
Kama wanawaizrael walivyolidai sanduku la bwana baada ya kupigwa vitani,na waliporudishiwa sanduku la bwana walishinda vitaTunalitaka na HAKI yake.
Safari hii hatutosusia, tutalidai Kwa maandamano.
Ngoja tuoneSalaam, shalom!
Kwa kuwa kura halali zilitiwa ndani ya Sanduku la kura zikichangamana na kura fake tena chini ya usimamizi wa waandalizi wa uchaguzi wenyewe kama asemavyo Judge Warioba, zoezi Zima linageuka kuwa haramu.
Tunaweza kujisahihisha Kwa kufuta huu uchafuzi na kurudisha Sanduku la kura mahala pake Ili kuwachagua na kuwakataa viongozi tutakavyo Kwa HAKI na uwazi kabisa. Kwamba 2025 tukachagua viongozi wa mitaa Oct 27, October 28, tukachagua diwani, Mbunge na Ile ya juu Kwa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi.
"Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ni sasa."
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA πΉπΏ
Amen
πππKama wanawaizrael walivyolidai sanduku la bwana baada ya kupigwa vitani,na waliporudishiwa sanduku la bwana walishinda vita