Sanduku la kura lirudi mahala pake, tuchague viongozi tuwatakao

Muhimu zaidi ni kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura.

Jambo la maana zaidi ni kuondokana na dhana potofu ya kuibiwa kura ambayo huna na hukua na sifa wala haki ya kupiga kura πŸ’
Iko cku nchi hii itaponywa na laana ya CCM baada ya sanduku la Kura kurudishwa Kwa wananchi toka Kwa watekaji ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…