Saninu Laizer wa madini lipa pesa za watu. Ulituonyesha una madini ya mabilioni leo hii mchina anataka bilioni 8 zake

Saninu Laizer wa madini lipa pesa za watu. Ulituonyesha una madini ya mabilioni leo hii mchina anataka bilioni 8 zake

Mchina kataka helayake kwanza...
Jamaahataki anataka wasaini kwanza mkataba then amlipe

Mchina ngaashtukaaaa kagomaaa no mny no saini fukiashimoooo jamaa kadata issue imefika ubalozin ndio hana hamu
😂😂😂 Amlipe tu yaishe mchina atembee na vifaa vyake biashara imeishia hapo fukia shimo
 
ile ilikuwa ni mambo ya kisiasa tu, jamaa mgodi ulikuwa unaendeshwa na huyo mchina na washirika wengine, yale mawe waligawana na huyu mchina na washirika wengine
Siri imefichuka mambo yote hadharani Billionaire Laizer kumbe kwenye zile billion yake ilikua 30% tu Ila 70% yote ya mchina 😂
 
Tummulike achelewi Hamishaaa zile machine ya mchina
 
Siri imefichuka mambo yote hadharani Billionaire Laizer kumbe kwenye zile billion yake ilikua 30% tu Ila 70% yote ya mchina 😂
Yaaaan kumbee na wewe umeshtukaa mpwaa aisee mji mbaya huuuu
Dhambi kubwa n kutudanganya watz maliyake

Wachaga wanasemaaa

Nchinaaaa ngashtulaaa loiii
Sindeee chinaware ulangisowuyee
 
Yaaaan kumbee na wewe umeshtukaa mpwaa aisee mji mbaya huuuu
Dhambi kubwa n kutudanganya watz maliyake
Sasa Amlipe hio Pesa na mkataba uishie hapo wafukie shimo au anatakaje?
 
Na mm nilinusa hili mpwaaa...la 00
[emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji23] Allah amsitiri alipoo
Mpwa zero ziliongezwa sana pale
[emoji1]

Ova
 
Ampe mchina chake aache janja janja

Ova
 
Ile anaonyeshwa alisema n kama mara ya tatu ..sema akuonyeshwa hahahaaa
Sasa imekuaje Amlipe mchina hizo billion 8 asitake kuiba maana hapo atakua ashaanza kupiga dua za kuomba mchina afe
 
Sasa imekuaje Amlipe mchina hizo billion 8 asitake kuiba maana hapo atakua ashaanza kupiga dua za kuomba mchina afe
Inaitwaaa Surrat kutunfyaaa Al mauti
Usiombeee
 
Huyu walimrusha rusha tu
Kaongezewa na masifuri
WakTi wakina manga waliuza mawe ya zaidi ya bln 20 na walikuwa kimya

Any way hyo lazier amlipe mchina wa watu hela yake

Ova
Umeongea wewe mtu wa mishe hizo huyo kweli kuna namna alipambwa tajiri konki wa hayo masuala hawanaga mbambamba kwenye hela hawapendi majisifu kabisa
 
Huyu walimrusha rusha tu
Kaongezewa na masifuri
WakTi wakina manga waliuza mawe ya zaidi ya bln 20 na walikuwa kimya

Any way hyo lazier amlipe mchina wa watu hela yake

Ova
Mathias Manga alikiwa ni balaa enzi za uhai wake. Alitisha mno. Sunda nae mwanzoni mwa miaka ya 2000 alikuwa talk of town huko Chuga. Sema Mzee wa Kino ukiona tajiri anaenda sana kwenye media ujue kuna kitu nyuma ya pazia. Sunda nae alivuma sana kumbe nyuma yake kuna Sumaye.
 
Back
Top Bottom