πππ Amlipe tu yaishe mchina atembee na vifaa vyake biashara imeishia hapo fukia shimoMchina kataka helayake kwanza...
Jamaahataki anataka wasaini kwanza mkataba then amlipe
Mchina ngaashtukaaaa kagomaaa no mny no saini fukiashimoooo jamaa kadata issue imefika ubalozin ndio hana hamu
Siri imefichuka mambo yote hadharani Billionaire Laizer kumbe kwenye zile billion yake ilikua 30% tu Ila 70% yote ya mchina πile ilikuwa ni mambo ya kisiasa tu, jamaa mgodi ulikuwa unaendeshwa na huyo mchina na washirika wengine, yale mawe waligawana na huyu mchina na washirika wengine
Yaaaan kumbee na wewe umeshtukaa mpwaa aisee mji mbaya huuuuSiri imefichuka mambo yote hadharani Billionaire Laizer kumbe kwenye zile billion yake ilikua 30% tu Ila 70% yote ya mchina π
Sasa Amlipe hio Pesa na mkataba uishie hapo wafukie shimo au anatakaje?Yaaaan kumbee na wewe umeshtukaa mpwaa aisee mji mbaya huuuu
Dhambi kubwa n kutudanganya watz maliyake
Kwa hio ni mara ya ngapi sasa?Akaenda mbali zaidi aliulizwa na millardayo akajibu sio maraya kwanza kupata mzigo mkubwa kama huu kwikwikwi
hahahaj huu ndio mwandiko wa bad boy Didy sasahuyukamaa alisimamishwa akajitapa ana utajiri wa billions ofmmny na majiwe yake kha
Mpwa zero ziliongezwa sana paleNa mm nilinusa hili mpwaaa...la 00
[emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji23] Allah amsitiri alipoo
Sasa imekuaje Amlipe mchina hizo billion 8 asitake kuiba maana hapo atakua ashaanza kupiga dua za kuomba mchina afeIle anaonyeshwa alisema n kama mara ya tatu ..sema akuonyeshwa hahahaaa
Kama nyerere na uhuru wa tzHawakutuambia manake huyo mwamba alichukua sifa zote pekeyake
Umeongea wewe mtu wa mishe hizo huyo kweli kuna namna alipambwa tajiri konki wa hayo masuala hawanaga mbambamba kwenye hela hawapendi majisifu kabisaHuyu walimrusha rusha tu
Kaongezewa na masifuri
WakTi wakina manga waliuza mawe ya zaidi ya bln 20 na walikuwa kimya
Any way hyo lazier amlipe mchina wa watu hela yake
Ova
Mathias Manga alikiwa ni balaa enzi za uhai wake. Alitisha mno. Sunda nae mwanzoni mwa miaka ya 2000 alikuwa talk of town huko Chuga. Sema Mzee wa Kino ukiona tajiri anaenda sana kwenye media ujue kuna kitu nyuma ya pazia. Sunda nae alivuma sana kumbe nyuma yake kuna Sumaye.Huyu walimrusha rusha tu
Kaongezewa na masifuri
WakTi wakina manga waliuza mawe ya zaidi ya bln 20 na walikuwa kimya
Any way hyo lazier amlipe mchina wa watu hela yake
Ova