Saninu Laizer wa madini lipa pesa za watu. Ulituonyesha una madini ya mabilioni leo hii mchina anataka bilioni 8 zake

Huyu walimrusha rusha tu
Kaongezewa na masifuri
WakTi wakina manga waliuza mawe ya zaidi ya bln 20 na walikuwa kimya

Any way hyo lazier amlipe mchina wa watu hela yake

Ova
Alikumbwa na siasa za wakati ule
 
Mabalaa yameanza kumwandama
 
ile ilikuwa ni mambo ya kisiasa tu, jamaa mgodi ulikuwa unaendeshwa na huyo mchina na washirika wengine, yale mawe waligawana na huyu mchina na washirika wengine
Mi nilihisi tu yale mawe yalikuwa ya watu wakubwa zile zilikuwa mbinu tu za kuyatoa Nje ya Geti pesa zitumike kwa mambo ya wakati ule.
 
Kuna maajabu yalitokea wakati wa Magufuli kwa sasa siyaoni kabisa.

1. Huyo Leizer aliibuka wakati Magu sasa hivi hoi

2. Chato ilikuwa na mwanafunzi wa kwanza kitaifa kwa sasa sijui watoto hawafundishwi huko?
kilio kwa waliowekeza chato wahurumieni tu [emoji16]

3. Mashirika ya uma yalitoa gawio sasa hivi CAG ndo anaonekana mnoko

4. Kigogo sasa hivi ni kinukta sijui hayupo duniani?

5. ATC sifa zilikuwa sijui nisemeje mnielewe!

6. Makonda alilia sasa hivi anatufokea [emoji16]

7.

8.

9.

10.

Sijui ilikuwa uhalisia? Ila maigizo yalikuwa mengi mno hiyo awamu Leizer pambana na hali yako.

Sasa tusubiri zam ya anaupiga mwingi huyu nae aking’atuka tu ndo mambo yatakuwa wazi hasa upande wa upigaji hela jiandae kuacha vinywa wazi nawahakikishia hamtamuona huku Lucas Mwashambwa na pambio zake hizi.

Let’s wait!
 
Bilionea chawa haijawahi kutokea. Alipe pesa ya watu kwanza ndio wakae wajadili mkataba mpya aache janjajanja. Mtu alipata chance nzuro akaishia kujiweka kwa media kama baba levo. Minyii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…