Nakumbuka kesi ya Maumba yalitajwa mafuta fulani ya mgando aliyokuwa anatumia kwenye shughuli yake, basi yale mafuta ukinunuliwa nyumbani kwenda nayo boarding skuli unaona noma kishenzi!-yale mafuta kama kuna mtu anayakumbuka tafadhali
Kipindi hicho radio ni moja ukitoka nyumbani mziki umeanza unaweza kwenda kwa jirani kuumalizia.... mi nakumbuka enzi za Mwanameka.... "Uliposikia eeh eeh, kwamba Musa ameoa, kaoa mke wa ndoa, ukataka na kulia uhuni ukaweka kando... mwanameka umeleta maneno, umeuvunja unyumba wa Musa...."kuna vibao vilitoka kama kile kinakibwagizo 'bwana mangushi nakupa pole sana watu hao ni walaghai, wanaitwa matapeli eehh' wenye kumbukumbu watukumbushe bendi gani, kama sikose Maneti(?)
Hii thread itatuonyesha under ages ni akina nani humu JF
Those were the days, the days of our lives.
Gazeti la mfanyakazi ndio lilikuwa kama mwanahalisi ya sasa
Duh, kweli tumetoka mbali
ya utapeli enzi hizo kuna vibao vilitoka kama kile kinakibwagizo 'bwana mangushi nakupa pole sana watu hao ni walaghai, wanaitwa matapeli eehh' wenye kumbukumbu watukumbushe bendi gani, kama sikose Maneti(?)
Nakumbuka kesi ya Maumba yalitajwa mafuta fulani ya mgando aliyokuwa anatumia kwenye shughuli yake, basi yale mafuta ukinunuliwa nyumbani kwenda nayo boarding skuli unaona noma kishenzi!-yale mafuta kama kuna mtu anayakumbuka tafadhali
Kweli kabisa mwanakijiji huyu mama aliwahi, maana enzi zile wizi ulikuwa haulindwi wala kusukiwa mikakati IKULU kama ilivyo sasa ambapo angechukua kiualaini na kuzikuta nje zinamsubiri badala ya kukimbia na bulungutu.
Kesi ambazo zilitamba ni ile kesi ya uhaini ya miaka ya 80. Hii ya Simbaulanga ya mwaka 89 ilikuwa cha mtoto kwanza Nyerere alikuwa ameshang'atuka. Watu walikuwa wanakatazwa kupaki Range Rover karibu na benki. Hii nchi bana tumetoka mbali kweli. Maaskari wana vigolf wanamfukuza mwizi anayeendesha Range.
na Kuna ile kesi ya mauaji ya kimapenzi ya ASHA MKWIZU, nani anaikumbuka humu?, nayo ilikuwa hot kweli that time
Kesi ya Sara Martin Simbaulanga aka Khadija Kimbau, ukiingalia kiundani ilikuwa imejaa Mapenzi zaidi ya maendeleo binafsi, ilikuwa inaonekana yule mama alikuwa ameisha kabisa kwa Toroha M Toroha na ndie aliyekuwa mastermind wa ile move yote
ndiyo point niliyotaka kuleta.. kwanini tulikuwa very serious wakati ule..? Leo kuna mama mwingine anatuhumiwa kuiba bilioni 1.3 na hakuna watu wanaoshtuka!
Watu walikuwa wanakatazwa kupaki Range Rover karibu na benki. Hii nchi bana tumetoka mbali kweli. Maaskari wana vigolf wanamfukuza mwizi anayeendesha Range.