ok mkuu.ila mkuu unaweza kutupa picha kidogo?Katafute kwenye law reports maana kesi ilikuwa na hatua mbalimbali za usikilizaji.
heshima kwenu wakubwa wangu ktk jf. kuna jamaa yagu aliwahi nisimulia kisa cha mwanamke mmoja simba ulanga na mwenzie mohammed toroha kuwa ndio watu walionzisha wizi wa mapesa katika mabenki hapa nchini.inasemekana wote walio husika walikamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria. je? nikweli kwamba walihukumiwa miaka mingapi? kama kuna yeyote anae ujua mkasa huu ningependa atujuze.ni hayo tu wakubwa...
Dada/Kaka Slave
hii mada ilishajadiliwa humu mwaka huu na information nyingi sana zilitolewa, mwanzisha thread alikuwa ni Mwanakijiji, tenda kwenye post zake utaiona na utafaidika na mengi
alikuwa anaitwa malkia wa wizi wa kalamu alifungwa miaka 28 nikumbukavyo mimi labda wana jf wanikumbushe kati ya mwaka 1987 au1988 kama sikosei enzi hizo nilikuwa young sanaduh umenikumbusha mbali sana mkuu
alikuwa anaitwa malkia wa wizi wa kalamu alifungwa miaka 28 nikumbukavyo mimi labda wana jf wanikumbushe kati ya mwaka 1987 au1988 kama sikosei enzi hizo nilikuwa young sanaduh umenikumbusha mbali sana mkuu
Kama ana nyumba 4 na zina wapangaji, nadhani anaweza kujikimu vizuri, unless kuna viwango vya kufulia.huyu mama anakaa kawe na amefulia mbaya na anaish kwa kutegemea kodi za wapangaji wa nyumba zake nne ambazo amepangisha hana jipya na hatembei mtaani maana anajistukia mbaya!
Hivi 'under age' humu JF ndo miaka mingapi?
huyu mama anakaa kawe na amefulia mbaya na anaish kwa kutegemea kodi za wapangaji wa nyumba zake nne ambazo amepangisha hana jipya na hatembei mtaani maana anajistukia mbaya!