Sare Mpya ya Chadema Usipime ! Mamluki wapigwa chenga ya mwili

Hahahaha!! Adi waziri mkuu mstaafu Pinda anaandika notes kiganjani kwa kidole bila wino sijui atakumbukaje? Mama Makinda yeye akihesabu tu vidole, kipaza sauti a.k.a sabwufa ye kaduwaa hajui cha kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona ya kawaida sana
 
We jamaa unaonekana upo obsessed Sana na chadema sijui wanakulipa au unajitolea? Na Kama unafamilia sijui unapata muda gani kukaa na familia yako maana kila wakati upo jamiiforum na nyuzi zako nyingi zinahusu chadema.
Ebu jitazame ulivyopumbavu we mama.We saiz na ujinga huu upo kwa mumeo?So far maisha binafs ya mtu yanakuhusu nn we mfagizi wa lumumba?Nyambafu kabisa
 
hakika kikosi cha usalama cha Chadema kiko makini kuliko wanafiki wanavyofahamu .
Kingekua makini kingegundua janja ya lowassa kuja kuiua chadema,kisha akarudi ccm
Hizo sare wanavaa kikosi cha zima moto huko scotland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…