Sare Mpya ya Chadema Usipime ! Mamluki wapigwa chenga ya mwili

Ama kweli nyani haoni kundule

Nyuzi zako nyingi zinamhusu domo na wasafi
We jamaa unaonekana upo obsessed Sana na chadema sijui wanakulipa au unajitolea? Na Kama unafamilia sijui unapata muda gani kukaa na familia yako maana kila wakati upo jamiiforum na nyuzi zako nyingi zinahusu chadema.
 
Very painful, sasa hivi wanasingizia kuwa mafuriko kwenye barabara za Dar yameletwa na Bendera za Chadema
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jamani, uchawi upo Africa tu.

Bendera na huu msimu wa mvua wapi na wapi? [emoji849][emoji849]

Nasisi tukisema lile Dege lao limekuja na mikosi kwa kumdhulumu mkulima? [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Haki ya nani sitoki Jamiiforums.

Kumbe Kawe Alumni ni kabinti cha mtandaoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani vituko haviishi chadema, anzisheni fashion entity kabisa ila kuwakwepa ccm
 
Mnasihi

Leo nilikuwa na hasira siku nzima.

Baada ya kuona comment yako nimecheka mpaka watu wa pembeni wamenihisi ni kichaa.

Ahsante kumpa ukweli huyu Kawe Alumni Binti wa mtandaoni, ameshindwa kushona madera na kukatika kwa mabuzi yake huko kawe, akijua atakua mange kimambi.

Tumvalishe kanga na shanga. [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shanga hakosi kwani Mila yake ya kimakonde inamruhusu! Anajitega Sana pale triple seven eti naye aonekane mjanja kumbe zwazwa tu!
 
Hiyo inaitwa chenga ya mwili na akili
 
Sare Ndio zinaleta kura?

Hiyo rangi nyekundu inawakilisha nini?

Mnaudhi sana kwa kweli

Hatutaki boksi la kura lichezewe, hatutakubali
Hutakubali we nani sasa? Nzi wa kijani tutawadhibiti na mtajuta kutufahamu,awamu hii hatoki mtu salama hapo wewe njoo ujaribu uone
 
Sumaye anawaona!
Laana yake hamuwezi kuitakasa - chama mmejaa hila na unafiki daaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…