Sare za Chadema zaanza kugombewa Kariakoo, Haifahamiki Sababu yake

Mke wangu siku atakayovaa dera la siasa, chama chochote basi nitampiga redundancy(RIDANSI) ya yellow card.
 
Mbona hapo sioni zikiwa zinagombaniwa hivi mnalipagwa kiasi ukiwa chawa wa chama cha siasa wewe na mwenzako Lucas sijui mna shida gani
Hawa ndo wake za viongozi, yn wangekuwa kule kwa Engonga aisee wangepigwa miti sana. Imagine tunaona connection ya kuzagamuliwa ya dada mtoa mada
 
Nitapata wapi gwanda la kiume.. Erythrocyte
 
Nimeyaona sana mavazi haya murua ya CHAMA kule Ifakara, kweli CHAMA kinapendwa Kilombero hadi imekuwa ni familia kabisa.
Kwetu kule mbunge hakai vipindi viwili tangu na tangu ilikuwa kwa Gulamali tuuu
 
Hujui kitu tunataka kwenye uchaguzi tuyavae afu tuonekane ni CHADEMA lakin hatumtaki mbowe tunamuunga mkono mama
 

Naona midoli tu, au ndio wanachama wenyewe hao?😀
 
AMINA.
 
KAJIBUNI KWANZA TUHUMA ZA RUSHWA ANAZOTOA LISSU NDIYO MJE MUUZE NGUO ZENU LA SIVYO HIZO ZITAKUWA Z AKUPIGIA DEKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…