makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mke wangu siku atakayovaa dera la siasa, chama chochote basi nitampiga redundancy(RIDANSI) ya yellow card.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaambiwa dera limempendeza mtoa mada na taco linaonekana kabisa, na hapo hajajimwagia maji ili taco lionekane vzr likiwa kwenye deraUmejipatia Dera sahizi ngapi ndugu mleta mada?
Hawa ndo wake za viongozi, yn wangekuwa kule kwa Engonga aisee wangepigwa miti sana. Imagine tunaona connection ya kuzagamuliwa ya dada mtoa madaMbona hapo sioni zikiwa zinagombaniwa hivi mnalipagwa kiasi ukiwa chawa wa chama cha siasa wewe na mwenzako Lucas sijui mna shida gani
Wa mumeoNi mzigo wa nani huo Mwenyekiti au makamu
kiukweli yanavutia basi tuu, sio kijaniNipo Mtaa Wa Congo Nimeona Hata CCM Wananunua Kwa Uzuri Wake
Sisi wanachama wa CHADEMA..nikiwemo.Mmemchoka wewe na nani?
Familia ya Nyerere imekataza Wahuni kutumia jina hiloWe bwege kuna mtu anakuzingatia kweli? Unaboa sn kwa uzushi na uongo
HalloUnatengenezwa China na kuuzwa Tanzania
Nitapata wapi gwanda la kiume.. ErythrocyteHii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania
View attachment 3152392View attachment 3152393
Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela.
Bado haijajulikana sababu hasa za mauzo hayo kupanda haraka kiasi hicho, Bali wadau wanaona labda kujaa kwa Taarifa za Chama hicho Mitandaoni kumechagiza Kuinuka kwa mauzo ya Sare zake
Kwetu kule mbunge hakai vipindi viwili tangu na tangu ilikuwa kwa Gulamali tuuuNimeyaona sana mavazi haya murua ya CHAMA kule Ifakara, kweli CHAMA kinapendwa Kilombero hadi imekuwa ni familia kabisa.
Hujui kitu tunataka kwenye uchaguzi tuyavae afu tuonekane ni CHADEMA lakin hatumtaki mbowe tunamuunga mkono mamaHii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania
View attachment 3152392View attachment 3152393
Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela.
Bado haijajulikana sababu hasa za mauzo hayo kupanda haraka kiasi hicho, Bali wadau wanaona labda kujaa kwa Taarifa za Chama hicho Mitandaoni kumechagiza Kuinuka kwa mauzo ya Sare zake
Hii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania
View attachment 3152392View attachment 3152393
Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela.
Bado haijajulikana sababu hasa za mauzo hayo kupanda haraka kiasi hicho, Bali wadau wanaona labda kujaa kwa Taarifa za Chama hicho Mitandaoni kumechagiza Kuinuka kwa mauzo ya Sare zake
Naona midoli tu, au ndio wanachama wenyewe hao?😀Hii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania
View attachment 3152392View attachment 3152393
Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela.
Bado haijajulikana sababu hasa za mauzo hayo kupanda haraka kiasi hicho, Bali wadau wanaona labda kujaa kwa Taarifa za Chama hicho Mitandaoni kumechagiza Kuinuka kwa mauzo ya Sare zake
Mi naona midoli tuWako wapi wanaogombea?
🤣🤣🤣Mi naona midoli tu
AMINA.Hii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania
View attachment 3152392View attachment 3152393
Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela.
Bado haijajulikana sababu hasa za mauzo hayo kupanda haraka kiasi hicho, Bali wadau wanaona labda kujaa kwa Taarifa za Chama hicho Mitandaoni kumechagiza Kuinuka kwa mauzo ya Sare zake
KAJIBUNI KWANZA TUHUMA ZA RUSHWA ANAZOTOA LISSU NDIYO MJE MUUZE NGUO ZENU LA SIVYO HIZO ZITAKUWA Z AKUPIGIA DEKIHii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania
View attachment 3152392View attachment 3152393
Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela.
Bado haijajulikana sababu hasa za mauzo hayo kupanda haraka kiasi hicho, Bali wadau wanaona labda kujaa kwa Taarifa za Chama hicho Mitandaoni kumechagiza Kuinuka kwa mauzo ya Sare zake
NI UKOSEFU WA AKILI SASA VITU VIMETUNDIKWA VINAUZWA YEYE ANASEMA VINAGOMBANIWA HATUJAONA HATA MTU ANAYENUNUA TU ACHA KUGOMBANIWAMbona hapo sioni zikiwa zinagombaniwa hivi mnalipagwa kiasi ukiwa chawa wa chama cha siasa wewe na mwenzako Lucas sijui mna shida gani