Pre GE2025 Sare za CHADEMA zagombewa mitaani. Magwanda ya Khaki yawa dili, yaanza kuadimika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tanga mmetusahau, tuyapate wapi? please
 
hatutaki takataka kama nyie........
Wewe mpuuzi unayelishwa na mbowe una kipi Cha maana!, Maandamano yangekuwa na mvuto Kama yangeongozwa na mpambanaji wa kweli wa chama (Tundu Lissu) amabaye hana ndimi mbili wala ujinga kama wa mbowe.
Unakataa kufanya maandamano kwwajili ya kuuzwa kwa Bandari afu uje umpeleke nani akaandamane jwa upuuzi wa mbowe.
 
Watu tutaunga mkono chama endapo Mbowe ataondoka madarakani, chadema sio chama chake Wala familia yake..... Atupishe hana mvuto kwanza ni ananuka rushwq ya 2015.
 
Mpuuzi ni wewe unayemtukana mbowe wakati ni baba yako, unamjua baba yako wewe? Nakupa tarifa mheshimu Mbowe ni baba yako!
 
Kwa hiyo Mbowe au God bless Lema amebuni namna ya ku dispose mzigo wa magwanda ya Khaki.


Anyway CHADEMA mnachokijua zaidi ni kuchangisha fedha kwa wananchi kwa jina la OPERESHENI lakini kamwe hamutoi mahesabu.
 
Historia kuandikwa tarehe ya 24 January 2024 nchi nzima kuitikia wito kuandamana kwa amani ili kuitia mbinyo (pressure) serikali ya CCM na bunge lake kusikiliza maoni ya kutakiwa kuitupilia mbali miswada mibovu ovu dhidi ya uhuru na demokrasia.
Hakuna sisimizi au pimbi yeyote wa CHADEMA atakayeandamana. Hawa wanafanya trending tu kwenye social media. Waoga hawana mfano
 
Ila wewe mjinga sana, wanaogombea magwanda ya kaki wako wapi? Jinga sana hili nyumbu.
 
Kumekucha
 
Safi kabisaa naona wako kwenye mkeka wa rami ambao ni zao zurii la utekerezaji wa irani ya CCM. Kidumu chama cha mapinduziii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…