Pre GE2025 Sare za CHADEMA zagombewa mitaani. Magwanda ya Khaki yawa dili, yaanza kuadimika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Safi kabisaa naona wako kwenye mkeka wa rami ambao ni zao zurii la utekerezaji wa irani ya CCM. Kidumu chama cha mapinduzii
 
Tunaposema kuwa cdm ni mpango wa Mungu wawe wanatuelewa.

Hongereni sana viongozi wa cdm kwa kuendelea kukibrand chama
 
Mitaa gani hiyo. Acheni ujinga wenu. Tuonane siku maalum ya usafi
Una akili za kijinga sana.
Kwani hayo madai yanayo ifanya cdm kuandamana unaona hayana maana?

Wewe leo hii sukari unainunua bei gani?
Petrol na diesel unanunua bei gani?

Kama huoni faida ya haya maandamano basi wewe ni KULA KULALA
 
Hii nchi ina vituko sana hayo mambo yenu mmngeenda kuyafanyia huko rombo huku mjini tuna kazi ya kusafisha mji
Wakati huo huna uhakika wa kupata angalau milo 2 kwa siku
 
Historia kuandikwa tarehe ya 24 January 2024 nchi nzima kuitikia wito kuandamana kwa amani ili kuitia mbinyo (pressure) serikali ya CCM na bunge lake kusikiliza maoni ya kutakiwa kuitupilia mbali miswada mibovu ovu dhidi ya uhuru na demokrasia.
Tutakuwa wote
 
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…