Pre GE2025 Sare za CHADEMA zagombewa mitaani. Magwanda ya Khaki yawa dili, yaanza kuadimika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpuuzi ni wewe unayemtukana mbowe wakati ni baba yako, unamjua baba yako wewe? Nakupa tarifa mheshimu Mbowe ni baba yako!
Takataka wewe! Unajua matusi wewe?, Atoke kwenye uongozi kwa chadema ni Mali yake?.au ww ni mke wake mdogo?.
 
Wewe na nani?
Uvccm uunge mkono CDM?!!!
Una akili timam?, Sio kila anayempinga huyo bwana yenu ni uvccm? Mbowe aachie ngazi Hana jipya analoweza kuisaidia chadema.
 
Kumekuchaaa....

Ntaanzia Duka mbovu kuja tauni ......
 
Wana Yanga watazivaa kweli hizo t shirts? Ahahahahaha!!!
 
Kuweni makini isije ikawa ccm inatuma makamanda feki wanunue ili kufanya wanalotamani
 
Mwenye picha ya mwasisi wa Taifa akiwa amepiga gwanda atuletee hapa.

Maana Nyerere pia alikuwa muumini wa maandamano kama njia ya kudai HAKI.
 
Mimi ninahofu tu kwamba policcm watakubali kabisa haya maandamano, mjue hawajawahi kulusu kutokea tangu uhuru? na chadema pia, wadhaifu sana haya mambo ni jambo la kusubili kuona.
 
Kwa D'Salaam Sare zimebaki Kariakoo na Kitumbini tu
 
Hivi uliwahi kuona uzi wa mwashambwa ulio na ushahidi picha au video ? sijui mnanilinganishaje na watu duni kama hao yaani !
😀😀😀Kwa hiyo hao watu wawili wanaotandika mahali pa kupumzika ndio wapo kugombania sare za chama Chenu chovu? Kweli nyie ni mafisi na manyumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…