Wanapenda wenyewe. Anyway siku hizi wanavaa surualiAngalau zinawasitiri sio kama za hawa wetu mipaja nje na zakubana sana.
Suruali zakubana sana. Haziwasitiri hata. Nia aibu tupu.Wanapenda wenyewe. Anyway siku hizi wanavaa suruali
Hahaha inawezekana MkuuUbaya wa uniform umechangiwa na shape mbovu ya hao askari wenyewe wenye sura ya baba zao.
π ππππππππ€£π ππππsijui kwa nini waganda wengi ni weusi tii
Huyu wa Chini ni mwanaume,au?Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
View attachment 2228307
View attachment 2228308