Sare za traffic wa Uganda ni za ovyo Ukanda huu wa Afrika Mashariki

Sare za traffic wa Uganda ni za ovyo Ukanda huu wa Afrika Mashariki

Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.

View attachment 2228307

View attachment 2228308
Kwa muonekano Wao huu wakikusimamisha tu lazima Gari lenyewe liharibike.
 
Huyo mama sikumbuki alikuwa anaitwa Okello nadhani Linda Okello. ALisababisha kelele mitandanoani hadi akaenda chuo kikuu kusomea sheria. Nasikia siku hizi ni mwana sheria
Kelele kwasababu gani mkuu?
 
...................... hiyo tight skirt yake iliyoonyesha umbo lake kikamilfu. Wanaume wengi vijeba wakawa busy kutafuta contacts zake.
Na Kenya hizi shape hazipatikani kabisa
 
Back
Top Bottom