Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,548
Mipaja nje????Angalau zinawasitiri sio kama za hawa wetu mipaja nje na zakubana sana.
Mbona traffic wetu wanavaa suruali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mipaja nje????Angalau zinawasitiri sio kama za hawa wetu mipaja nje na zakubana sana.
Mkuu usiangale rangi ya paka, angalia uwezo wake kukamata panya...sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
Kwani wewe unakula watu?Huyu wa Chini ni mwanaume,au?
[emoji3][emoji3][emoji3]qmmk walahi.Samahani sana mkuu Nilikua nadanganya.Jamaa hua anavaa nguo za kutosha kabisa.View attachment 2228826View attachment 2228827View attachment 2228828
Mkuu kwa picha hizi umetishaaa ahaaa ahaaaaSamahani sana mkuu Nilikua nadanganya.Jamaa hua anavaa nguo za kutosha kabisa.View attachment 2228826View attachment 2228827View attachment 2228828
We kweli muhenga vanga tena!.Alafu congo nao hivo hivo na mafilimbi juu utafikiri wapiga vanga.
Sasa huo ni uwakii.. ulitaka wawe vipi?sijui kwa nini waganda wengi ni weusi tii
Hahah kweli we ni wakupulizaSamahani sana mkuu Nilikua nadanganya.Jamaa hua anavaa nguo za kutosha kabisa.View attachment 2228826View attachment 2228827View attachment 2228828
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Sasa Kwani hizo sio nguo nzuri?.Samahani sana mkuu Nilikua nadanganya.Jamaa hua anavaa nguo za kutosha kabisa.View attachment 2228826View attachment 2228827View attachment 2228828
Hebu wacha fitina mkuu, wewe hupendi utalii wa ndani?Angalau zinawasitiri sio kama za hawa wetu mipaja nje na zakubana sana.
Unawataka wapendeze na kuvutia ili uwafanyeje?Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
View attachment 2228307
View attachment 2228308
Japana mkuu,hapa kwetu wapo wamama traffic sura za baba ila ukiwa kwa mbali unaweza kusema ni mtoto mkali kwa namna alivyo smart,ila ukimsogelea unakuta age imeenda.Ubaya wa uniform umechangiwa na shape mbovu ya hao askari wenyewe wenye sura ya baba zao.
Japana mkuu,hapa kwetu wapo wamama traffic sura za baba ila ukiwa kwa mbali unaweza kusema ni mtoto mkali kwa namna alivyo smart,ila ukimsogelea unakuta age imeenda.Ubaya wa uniform umechangiwa na shape mbovu ya hao askari wenyewe wenye sura ya baba zao.
Sawa shoga uliyekubuhu!Bado ni mbaya tunawazidi mbali sana