Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mkongwe upo?Ubaya wa uniform umechangiwa na shape mbovu ya hao askari wenyewe wenye sura ya baba zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkongwe upo?Ubaya wa uniform umechangiwa na shape mbovu ya hao askari wenyewe wenye sura ya baba zao.
Kaa,be!!!,Wee jamaa muongo sana,hio sio kweli nimekwenda Uganda karibia mara sita mfululizo na mara km tatu nilikutana na Museveni akiwa amevaa vizuri tu.Rais wao mwenyewe ulishamuona anavyovaa?Mashati makubwa kama Yale ya blaza K wa futuhi
Ingia anga zake umvumbuewa chini ke au me?
😀😀Rais wao mwenyewe ulishamuona anavyovaa?Mashati makubwa kama Yale ya blaza K wa futuhi
Ndo burudani yenyeweAngalau zinawasitiri sio kama za hawa wetu mipaja nje na zakubana sana.
Ni keHuyu wa Chini ni mwanaume,au?
Hawa ni manesi jombaaaKwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
View attachment 2228307
View attachment 2228308
PoliceHawa wenye manguo ya bluu ni mapoti?
Kabisa mara ya kwa kufika Kampala nilicheka sana huyu designer haendi peponi.Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
View attachment 2228307
View attachment 2228308
Samahani sana mkuu Nilikua nadanganya.Jamaa hua anavaa nguo za kutosha kabisa.Kaa,be!!!,Wee jamaa muongo sana,hio sio kweli nimekwenda Uganda karibia mara sita mfululizo na mara km tatu nilikutana na Museveni akiwa amevaa vizuri tu.
Salaam,🖐️🖐️Mkongwe upo?
Leteni na picha mavazi ya polisi wa kongo
Ile uniform hata kama ni mpya haielewekiHujaona ya Magereza iliyopauka hapa bongo wewe.
Vazi ni vazi tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuKwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia
Du...utafikiri wahudumu wa mortuary!Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
View attachment 2228307
View attachment 2228308