Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
View attachment 2228307
View attachment 2228308
Nimejikuta nacheka kwa sauti..! Mbona wanaonekana kama wamevaa ma rapu rapu [emoji23]