Sasa barabara ya Lusahunga – Rusumo yenye urefu wa kilomita 92, kujengwa kwa Bilioni 153

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Lusahunga – Rusumo yenye urefu wa kilomita 92 kwa kiwango cha lami mradi utakaogharimu kiasi cha shilingi bilioni 153.

Akiongea na wananchi wa mkoa kagera katika hafla ya utiaji saini iliyofanyika katika mji wa Benaco wilayani Ngara, waziri wa ujenzi na uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuiunganisha Tanzania na Nchi Jirani ili kuweza kuinua uchumi wa wanakagera na watanzania kwaujumla.

Waziri Mbarawa Ameongeza kuwa baada ya kusainiwa mkataba huu kati ya serikali na mkandarasi ajulikanae kama Chines Civil Engineering Company LTD, Mradi huu utatakiwa kuanza kutekelezwa ndani ya miezi mitatu.

Amesema lengo la kujenga barabara hii upya ni kuwaondolea wananchi adha kubwa ya usafiri na usafirishaji ikiwa ni kufungua fursa upya za biashara.

Aidha amesema kuwa barabara huyo ni muhimu kwa nchi za Africa Mashariki katika kusafirisha mazao ya kilimo na kuongeza kipato kwa watanzania wa maeneo haya.

Kwa upande wake mtendaji mkuu wa TANRODS Mhandisi Logatusi Mativila amesema kuwa mradi huo utatekelezwa kwa kipindi cha miezi 24 huku mbunge wa jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruholo akiomba vijana wa wilaya za Ngara na Biharamulo wapate ajira pindi mradi huo utakapoanza.

Pia, soma:

1). Kwa hilo la barabara ya Lusahunga hadi Rusumo Serikali inacheza na hatari!

2). Barabara Rusahunga Benaco haipitiki kwa nini Tanroads Biharamulo wasitumbuliwe?

3). Ushauri wa Bure kwa Polisi barabara ya Ngara - Isaka Kipande cha Benaco Nyakanazi
 
Nipo curious

Naona kwenye ramani HEPP ipo nje ya bonde la mto wenye maporomoko, halafu tunaambiwa swichi zinawekwa Rwanda, je sababu ya kiufundi ni ipi
Screenshot_20230219_131111_Samsung Internet.jpg
 
Nipo curious

Naona kwenye ramani HEPP ipo nje ya bonde la mto wenye maporomoko, halafu tunaambiwa swichi zinawekwa Rwanda, je sababu ya kiufundi ni ipiView attachment 2522778
Mkuu, una uhakika na uwezo wako wa kusoma ramani, au umekuja kupotosha ili kufanya propaganda? Wapi umeambiwa mambo ya swichi? Tufanunulie na sisi tuelewe.
 
Jibu swali kama huna majibu unanyamaza, hiyo ramani inajieleza na kuna uzi humu unazungumzia switch kuwa installed Rwanda

Uliza aliyekudanganya. Mimi nimeweka thread ya barabara. Unaonekana kama unaweweseka. Wapi nimeongelea Swichi? Januari Makamba unamuogopa? Umekuja kuchakachua thread ya barabara kwa manufaa yako
 
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Lusahunga – Rusumo yenye urefu wa kilomita 92 kwa kiwango cha lami mradi utakaogharimu kiasi cha shilingi bilioni 153.

Akiongea na wananchi wa mkoa kagera katika hafla ya utiaji saini iliyofanyika katika mji wa Benaco wilayani Ngara, waziri wa ujenzi na uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuiunganisha Tanzania na Nchi Jirani ili kuweza kuinua uchumi wa wanakagera na watanzania kwaujumla.

Waziri Mbarawa Ameongeza kuwa baada ya kusainiwa mkataba huu kati ya serikali na mkandarasi ajulikanae kama Chines Civil Engineering Company LTD, Mradi huu utatakiwa kuanza kutekelezwa ndani ya miezi mitatu.

Amesema lengo la kujenga barabara hii upya ni kuwaondolea wananchi adha kubwa ya usafiri na usafirishaji ikiwa ni kufungua fursa upya za biashara.

Aidha amesema kuwa barabara huyo ni muhimu kwa nchi za Africa Mashariki katika kusafirisha mazao ya kilimo na kuongeza kipato kwa watanzania wa maeneo haya.

Kwa upande wake mtendaji mkuu wa TANRODS Mhandisi Logatusi Mativila amesema kuwa mradi huo utatekelezwa kwa kipindi cha miezi 24 huku mbunge wa jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruholo akiomba vijana wa wilaya za Ngara na Biharamulo wapate ajira pindi mradi huo utakapoanza.

Pia, soma:

1). Kwa hilo la barabara ya Lusahunga hadi Rusumo Serikali inacheza na hatari!

2). Barabara Rusahunga Benaco haipitiki kwa nini Tanroads Biharamulo wasitumbuliwe?

3). Ushauri wa Bure kwa Polisi barabara ya Ngara - Isaka Kipande cha Benaco Nyakanazi
Huu utamaduni wa kumtaja taja rais ni hovyo kabisa, upo Tanzania tu labda na Korea kaskazini
 
Sawa na kilomita 153 ,billion Moja hujenga kilomita Moja ya Barabara kiwango Cha Lami
 
Inategemeana na mazingira, upatikanaji ya vifaa, bei ya kununua material za ujenzi, kuwepo kwa madaraja makubwa na madogo.
Sema hii barabara haona kazi kubwa. Sababu ilishajengwa kwa kiwango cha lami. Lami ikazeheka. Miamba ilishapasuliwa, madaraja yapo. Yeye ayakwangua lami iliyo zeheka labda na layer mbili tatu
 
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Lusahunga – Rusumo yenye urefu wa kilomita 92 kwa kiwango cha lami mradi utakaogharimu kiasi cha shilingi bilioni 153.

Akiongea na wananchi wa mkoa kagera katika hafla ya utiaji saini iliyofanyika katika mji wa Benaco wilayani Ngara, waziri wa ujenzi na uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuiunganisha Tanzania na Nchi Jirani ili kuweza kuinua uchumi wa wanakagera na watanzania kwaujumla.

Waziri Mbarawa Ameongeza kuwa baada ya kusainiwa mkataba huu kati ya serikali na mkandarasi ajulikanae kama Chines Civil Engineering Company LTD, Mradi huu utatakiwa kuanza kutekelezwa ndani ya miezi mitatu.

Amesema lengo la kujenga barabara hii upya ni kuwaondolea wananchi adha kubwa ya usafiri na usafirishaji ikiwa ni kufungua fursa upya za biashara.

Aidha amesema kuwa barabara huyo ni muhimu kwa nchi za Africa Mashariki katika kusafirisha mazao ya kilimo na kuongeza kipato kwa watanzania wa maeneo haya.

Kwa upande wake mtendaji mkuu wa TANRODS Mhandisi Logatusi Mativila amesema kuwa mradi huo utatekelezwa kwa kipindi cha miezi 24 huku mbunge wa jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruholo akiomba vijana wa wilaya za Ngara na Biharamulo wapate ajira pindi mradi huo utakapoanza.

Pia, soma:

1). Kwa hilo la barabara ya Lusahunga hadi Rusumo Serikali inacheza na hatari!

2). Barabara Rusahunga Benaco haipitiki kwa nini Tanroads Biharamulo wasitumbuliwe?

3). Ushauri wa Bure kwa Polisi barabara ya Ngara - Isaka Kipande cha Benaco Nyakanazi
Uamuzi muhimu sana, JPM kwa chuki yake kwa kagera alikuwa anauchelewesha.

Katika boda ambazo ziko bize sana ni za Kabanga na Rusumo, Lori zinazopita pale ni nyingi sana
 
Back
Top Bottom