Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Sawa na kilomita 153 ,billion Moja hujenga kilomita Moja ya Barabara kiwango Cha Lami
Hizi hesabu za bilioni moja kwa kilomita moja ni nani alizeleta. Naona imekuwa ni SI unit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa na kilomita 153 ,billion Moja hujenga kilomita Moja ya Barabara kiwango Cha Lami
Ukitaka kujua hii nchi ni kubwa, pita njia hiyo, hata basi zinazokwenda njia hiyo zina sura ngumu, scaniaTunaenda kulitazama.
Ile barabara inabeba mzigo mzito sana, ubora wake lazima uwe mara mbili, sijui kama inapita dakika 5 Lori iliyokula mzigo haijapita barabara ile, lazima ichimbuliwe kuondoa tabaka la tope chini ambalo linafanya lami kutitiaSawa na kilomita 153 ,billion Moja hujenga kilomita Moja ya Barabara kiwango Cha Lami
Sawa na kilomita 153 ,billion Moja hujenga kilomita Moja ya Barabara kiwango Cha Lami
Waweke pia mizani za kutosha magari ya Burundi na Rwanda wao wanapakia mizigo ya kuzidi kulingana na barabara zao. Walime kuipunguza makali na kuitanua ile down ya machinjioni pale kuelekea Rusumo.
Ni hatari. Mashine za Rwanda zile Actross Benz naonaga pale boda Rusumo sio nundu zile zinakula. Waandae mfumo mzuri wa ku regulate barabara la sivyo watakiwa wanaikarabati kila uchao kama ilivyo sasa hivi.Mizaani ile ya nyakanazi ianze kufanya kazi na imaliziwe, halafu mbele ya nyakahura hasa mitaa ya pale zerozero pawekwe muuzani mkubwa maana jamaa wanapakia hata tani 40 au 45 wao ni kawaida
Mwanzilishi wake ni Mwendawazimu/Mwendakuzimu.Huu utamaduni wa kumtaja taja rais ni hovyo kabisa, upo Tanzania tu labda na Korea kaskazini
Ina maana haujaele alichomaanisha au unajitoa ufahamu.Serikali ya Marekani huwa inaitwa like Biden Administration, Trump administration nk nk. So sio Tanzania tu mkuu
Ujenzi umeanza kutokea Singida kuja RungwaIkumbukeni na Barabara ya MBEYA kwenda TABORA, SHINYANGA, MWANZA Kupitia CHUNYA ili tuepuke mzunguko wa Kupitia mtera na DODOMA.
Serikali Huwa haifanyi hivyo,Kipande Cha Songwe Tunduma kitakuwa Cha mwisho Kwa sababu kilikarabatiwa kipindi Cha Mkapa so Bado Ina uhai licha ya kuwa ni nyembambaKwa muono wangu bora wangejenga yote kwanza ya Mbeya Hadi Tunduma
Ndio Rais lazima atajwe maana Kila Nchi yake Ina aina zake za siasa.Huu utamaduni wa kumtaja taja rais ni hovyo kabisa, upo Tanzania tu labda na Korea kaskazini
2024,mkataba ni miezi 24Itakamilika mwaka gani?
Ni wivu tuu wa hao pimbiSerikali ya Marekani huwa inaitwa like Biden Administration, Trump administration nk nk. So sio Tanzania tu mkuu
Hiyo ni asphalt concrete km Moja Kwa bei za Sasa ni Kati ya 1.8bln Hadi 2.2bln kutegemeana na design ya pavement,terrain na drainage structures.Sawa na kilomita 153 ,billion Moja hujenga kilomita Moja ya Barabara kiwango Cha Lami
Kakwambia nani? Rehabilitation Huwa ni costful kuliko Hata upgradingSema hii barabara haona kazi kubwa. Sababu ilishajengwa kwa kiwango cha lami. Lami ikazeheka. Miamba ilishapasuliwa, madaraja yapo. Yeye ayakwangua lami iliyo zeheka labda na layer mbili tatu
1 bilioni ni maximum price ya ujenzi wa kilomita moja ya lami.Inategemeana na mazingira, upatikanaji ya vifaa, bei ya kununua material za ujenzi, kuwepo kwa madaraja makubwa na madogo.
Na Sasa gharama za vifaa vya ujenzi viko Juu sana..Nadhani vifaa ndo ishu. Hakuna Kiqanda cha nondo wala Sementi. Sema kokoto na mchaga vipo vya kutosha. Tatizo ni chuma na lami yenyewe.
Mradi mwingine huu hapa huko KageraUamuzi muhimu sana, JPM kwa chuki yake kwa kagera alikuwa anauchelewesha.
Katika boda ambazo ziko bize sana ni za Kabanga na Rusumo, Lori zinazopita pale ni nyingi sana