Sasa barabara ya Lusahunga – Rusumo yenye urefu wa kilomita 92, kujengwa kwa Bilioni 153

Inajengwa au inafanyiwa ukarabati?
 
Inajengwa au inafanyiwa ukarabati?
Hadi waanze ndo tutajua. Barabara ipo ya lami sema ya miaka mingi hadi semu nyingine huwezi jua kama kulikuwa na lami.. Labda wataijenga upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…