Pre GE2025 Sasa CCM imepata mpinzani wa kweli tangu 1992-2025 CHADEMA chini Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kabisa mkuu, huyu ni mnufaika na mfumo wa ccm
ikumbukwe wakandarasi wa barabara wazawa mpaka sasa hawajalipwa na miundo mbinu imechakaa na mpaka sasa wamepaki vitendea kazi hivyo raia wanabaki na chuki na hasira kwa kuwa ghararama za kusafirisha mizigo yao inakuwa kubwa.
 
Si hizo tu mkuu, changamoto ni nyingi mno, ufisadi ni mkubwa sana
 
Uchaguzi ambao CCM walipaswa kuteseka ni mwaka 2015 ila kwahuyo mwanachama wa UPINDE sidhani kama Kuna mpya
 
Uchaguzi ambao CCM walipaswa kuteseka ni mwaka 2015 ila kwahuyo mwanachama wa UPINDE sidhani kama Kuna mpya
Subili na uone mkuu, wanatanzania wamechoka na mfumo wa ccm,
 
Chadema wakitaka kushinda uchaguzi ujao basi wasimsimamishe Lisu watafute mgombea mwingine Lisu hawezi kuwa rais wa nchi hii aliyoiasisi Nyerere. Lisu alimdhihaki Nyerere kwa kumuita mlaghai ktk suala zima la kuziunganisha Tanganyika na Zanzibar kwenye bunge la katiba. Sasa nchi hii Fanya ujinga wako wote ila usimguse Nyerere huto eleweka kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…