Pre GE2025 Sasa CCM imepata mpinzani wa kweli tangu 1992-2025 CHADEMA chini Tundu Lissu

Pre GE2025 Sasa CCM imepata mpinzani wa kweli tangu 1992-2025 CHADEMA chini Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kabisa mkuu, huyu ni mnufaika na mfumo wa ccm
ikumbukwe wakandarasi wa barabara wazawa mpaka sasa hawajalipwa na miundo mbinu imechakaa na mpaka sasa wamepaki vitendea kazi hivyo raia wanabaki na chuki na hasira kwa kuwa ghararama za kusafirisha mizigo yao inakuwa kubwa.
 
ikumbukwe wakandarasi wa barabara wazawa mpaka sasa hawajalipwa na miundo mbinu imechakaa na mpaka sasa wamepaki vitendea kazi hivyo raia wanabaki na chuki na hasira kwa kuwa ghararama za kusafirisha mizigo yao inakuwa kubwa.
Si hizo tu mkuu, changamoto ni nyingi mno, ufisadi ni mkubwa sana
 
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Serikali ya kikoloni ilipata upinzani wa kweli kutoka kwa watanzania wazalendo.

Baada ya uhuru serika ya Taa, Tanu na badae ccm hawakuwa na mpinzani wa kweli. Miaka ya 1980s'Dunia ilikuwa chini ya mfumo wa kibepari.

Hivyo demokrasia ndio ulikuwa msingi mkuu wa kibepari. Nchi yetu ililazimika kuingia huko. KWA kuwa mwl NYERERE alikuwa smart indeed, akasema isiwe case, akamua kuanzisha upinzani feki( Black agent) chini ya baadhi ya watu akiwemo Edwin Mtei, Lyatonga Mrema nk

Lengo ilikuwa kupata misaada kutoka kwa mabepari chini ya IMF NA WORLD BANK. vyama vya siasa vikaanzishwa, TLP, CHADEMA, NCCR, CUF, NK, I'li kuwazuga watoa misaada waone kuwa Tanzania kuna democrasia, na upinzani kumbe ni feki.

CCM wakauendeleza mfumo huo mpaka mwaka 2015 wakajichanganya kidogo, akangia mtu wa nje na mfumo, akataka kutoa siri kwa WANANCHI, ambayo CCM na state agents wameificha na kuilinda zaidi ya miaka 30. Wakala kichwa chake.

Sasa cha kushangaza na kusikitisha, sijui walijisahau vip? Sijui kuna baadhi ya watu waliosoma Cuba walichoka kuendelea kuilinda siri hii, ? Mwaka 2025 Wamejichanganya tena

Mwaka huu 2025, kile CHAMA kilichoanzishwa kwa makusudi maalumu ya kuwazuga watoa misaada na wananchi chini ya mablack agents CHADEMA feki kimekuwa CHAMA kikuu cha upinzani wa kweli. Chini ya mwenyekiti mh Tundu Lissu.

Wananchi wote ndani na nje ya nchi wamerudisha matumaini mapya kabisa kwa nchi yao nzuri ingawa Mafisadi, wala rushwa, machawa, wadhalimu, na viongozi wote wapumbavu leo hii hawapati hata usingizi, wanahaha, hawajui wafanye nini namna ya kuthibiti CHADEMA ya kweli. Mwaka huu tutaona mengi sana. "Hakuna masiki yasio na ncha"

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Uchaguzi ambao CCM walipaswa kuteseka ni mwaka 2015 ila kwahuyo mwanachama wa UPINDE sidhani kama Kuna mpya
 
Uchaguzi ambao CCM walipaswa kuteseka ni mwaka 2015 ila kwahuyo mwanachama wa UPINDE sidhani kama Kuna mpya
Subili na uone mkuu, wanatanzania wamechoka na mfumo wa ccm,
 
Chadema wakitaka kushinda uchaguzi ujao basi wasimsimamishe Lisu watafute mgombea mwingine Lisu hawezi kuwa rais wa nchi hii aliyoiasisi Nyerere. Lisu alimdhihaki Nyerere kwa kumuita mlaghai ktk suala zima la kuziunganisha Tanganyika na Zanzibar kwenye bunge la katiba. Sasa nchi hii Fanya ujinga wako wote ila usimguse Nyerere huto eleweka kamwe
 
Back
Top Bottom