Sasa hivi kupita mkesha/sikukuu bila ngumi imekuwa kawaida sana kitu ambacho miaka hiyo ilikuwa ni Nadra mno

Enzi hizo washamba mlikuwa wengi kuliko Sasa....
 
Sasa mkuu wangu Kwan yeye mwamba kuwa tiktok kuna ubaya ugani(japo mimi sipo huko)natumia jf, insta, na WhatsAp bas
 
Sasa mkuu wangu Kwan yeye mwamba kuwa tiktok kuna ubaya ugani(japo mimi sipo huko)natumia jf, insta, na WhatsAp bas
Kama umeshawahi kuingia tiktok unakuwa unaelewa nini namaanisha. Kama hujawahi basi nikuambie tu, wanaume wa tiktok ni walaini sana.
 
Umesahau kitu kimoja๐Ÿคฃkuanzia 1990-2009 kama Jina lazima ujiite Jina kingereza la kimafia utasikia "crazy gun""", knife seven, snake man, ninja B, alafu lazima muwe na makundi mzee mnashindana kudance si unajua sisi ugomvi wetu ulikuwaga ni sambili usiku tunakutana uwanjani watu kama 40๐ŸคฃDah utoto Raha sana
 
Nchi imekuwa ya hovyo sana hii, yaani Mwaka unaisha sijapiga ngumi watu watatu wanne?

Ajabu zaidi eti hata kwenye ndoa mwaka unaisha Mwanaume hujamweka Ng'eu Mkeo
 
Mkuu ngumi zilikuwa zinapigwa si watoto tu hadi mibaba ya family tena kwa kosa kidogo zinawaka.Zamani kudaiana mwisho siku 2 ya tatu zinapigwa na deni ndo linaisha hivyo.

Babu alikuwa anatusimulia kuwa alimkopesha mtu ngozi za ng'ombe idadi nimeshahu ila kwa gharama ya zote ni sh100.Siku waliyokubaliana atamlipa ikapita hakuja ksho yake vilevile siku tatu akaendapo kwakwe mapema saa 12 asbh akapiga hodi mke wa jamaa akatoka akasema ameondoka sasahivi tu.

Babu akamwambia basi akija leo mwambie hela yangu aniletee mwanamke akajibu sawa nitamwambia kumbe jamaa alikuwamo tu mle ndani bana.

Siku ya pili yake babu akaenda saa11 maelezo yakawa yaleyale ametoka sasahivi tu.Babu akaaga .Siku ya tatu akenda na yale mafyekeo ya kuunda yali tumikasana kufyeka kwenye mashamba ya mpunga.

Alipofika hakugonga hodi wala nini akakaaa mlangoni bya saa12 jama akasika anamwambia mke wake leo flani naona amechoka kuja kudai hela yake bana mwanamke akacheka akasema nilijua atachoka tu.

Jamaa ile kutoka nje ya mlango tu akakwidwa ngumi mke wake akatoka aje asaidie akapigwa pia.Babu alikuwa na vile viberti kama vya gesi kwa sasa lakini kipindi hicho walikuwa wanaweka mafuta ya taa na kinakuwa na utambii.Akakiwasha na kuchoma ile nyumba ya nyasi majrani wakasikia zile kelele wakawahi kuokoa jamaa kapigwa hajitambui.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ alafu mrushaji hamu muoni
Mnaoga uozo na harufu
 
Nilishuhudia Mtu kamwagwa utumboo hivhivi mkesha wa sikukuu, akatishiwa utumbo ukipigwa na upepo tu baaasi biashara yake dunian imeishia hapo,
 
Shybush enzi hizo Mkuu umenikumbusha tuliingia Mgodini Mwadui sec kubeba mademu aiseeh hiyo vita kama Gaza
 
Tangazo la chai JABA hili
 
Shybush enzi hizo Mkuu umenikumbusha tuliingia Mgodini Mwadui sec kubeba mademu aiseeh hiyo vita kama Gaza
Kuna disco moja sisi tukiwa form3 tulifanya fujo sana tukabeba spika na betery la gali na kila kitu kinahitajika tukaenda kugonga kengele saa5 usiku halafu disco likaanza hapohapo shulen walimu walikuwa wanauliza kuna nini lakin?

Tulicheza kumbe wanazengo hawajakubali ulirushwa mkuki ukatua hakuna ayebaki hata wanazengo nao hawakubaki maana tulikimbia ovyo kila mtu. Jtatu mwalimu akatangaza kabla hujatajwa jina lako na unajijua kabisa ulikuwepo hapa unacheza disco pita mbele hakuna aliye tokea ikabidi watuambie tupige kura ajabu tuliwaandika walimu alio kuja kuangalia kulikoni na wao walikuwa wanatujua kabisa lakin hayupoaliyetaja mwanafunzi hata mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ