Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali

Huyu dogo atakufa masikini na ajira za TAMISEMI unakataaje dola milioni 15 tena za mmarekani? Mwisho wa siku watanunua product yake kwa laki 6 wataenda kuifanyia analysis kisha wanadaka formula. Hao wazalendo wanampotosha
Ningevuta mpunga chap chap
 
Dogo azingatie Diplomasia, pia nashauri Bw mdogo angetafuta mtu wa kujibu Maswali ya wateja.
Kuna majibu katoa si mazuri kuhusiana na Tycoons wa Uuzaji wa madawa. Na kuna mteja kamchana kabisa kuwa "AVOID HARSH STATEMENT".
All in all Dogo tumlinde, wale madaktari wa upasuaji Macho kazini kwao kuna mtendakazi.
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=WB6sqE5Z9AY
Mbona mwatuchanganya? Ibrahim au Fatema na hizo nutrients zinarekebiesha refractive errors? Hope ni km GNLD na wenzake kina ARGI+
Huyo mleta mada ni bora awe anajithibitishia kwanza kabla ya kupost mambo kama haya. uko sahihi kabisa hizi ni eye supllement tu kama zilivyokuwa zile supllement zingine kama GNLD n.k. Na hazina uhusiano wowote ule wa moja kwa moja na Dr. Tutuba. Kiufupi ni upigaji mwingine wa pesa za watu unakuja.

Yaani dozi ya mwezi mzima itakugharimu zaidi ya 500k na wanachokiweka ni hizo vitamini na nutrients zingine tu. Wenzetu wanawashauri raia wao kwenda hospitali mapema ili kupata tiba na si kutegemea hayo madude. Macho ni kiungo sensitive sana, hakitaki janja janja nyingi.

 
Tuwekee link ya hiyi article au video clip.

Tusiingizane mkenge kimaataifa 👆🏾👆🏾🙏🏿
Nimejaribu kugoogle sana tu, kiufupi ni makanjanja kwani hiyo Visiorax ni eye supplement tu. Na huyo Dr. Tutuba wala hausiki chochote na hiyo product.
 
Si ajabu na huko Sudan kuna article ya hivi!
Upo sahihi.
Hiyo ni advert (ya kihuni) ambayo wana-target watu kutokana na IP-address.
Ukiwa Somalia, wanaonesha kuwa mgunduzi ni msomali na amewasaidia wasomali wengine. Hali kadhalika ukiwa Uganda, Zambia au nchi nyingine. Kuna tangazo lingine la namna hiyo linalohusu hypertension.
 
Ni scam inapromotiwa sana mtandaoni, ukiwa nchi nyingine story ni hiyo hiyo ila imebadilishwa majina
 

Ningeshangaa sana daktari mtanzania agundue dawa? Labda ya kienyeji, kwa technology gani tuliyonayo ya kuisolate vitamins au vitu vingine toka kwa mimea anayosema. Tunaweza kula matunda kimasiahara tu, haya mengine tuwaachie waliowekeza kwenye elimu, tech na utaalam. Uzuri wanatuuzia tunameza tu hawana roho mbaya!
 
Bora hata mmegundua.

Jamaa katumia kila aina ya mbinu zilozo katika kitabu cha ushawishi.

-Kaleta jina tunalolijua, Tutuba
-Kajifanya underdog, underground kushindana na magiant wa pharmacy
-Kaleta vi testimonoal uchwara tunaweza kuita ushahidi au shuhuda
-Kajitahidi kujipa mamlaka makubwa, ni daktari mkubwa anafika hadi nje na mamlaka ya macho inafanya kazi naye.
Etc etc
- Katengeneza upungufu uchwara na ofa kujenga scarcity ya bidhaa

Kuweni makini
 
That is redflag. i think mostly of comments are Tanzanians but not real.
how this product spread other countries without known and advertiers in Tz.?

"imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu", hapa ndipo mtanzania atakapopigwa za uso.​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…