Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali

Am Dr. Tutuba. Wona video mumacho yavunguke
Your browser is not able to display this video.
 
Si ajabu na huko Sudan kuna article ya hivi!
Matangazo kama haya yamezagaa Sana kwenye mitandao mingi ya kijamii. Nilichogindua ni kwamba yanakuwa tofauti kati ya nchi na nchi. Kwa Tanzania utaletewa jina la Daktari ambaye ni Mtanzania na kwamba kafanya ugunduzi fulani kuhusu hiyo fani yake. Hufanya hivyo hivyo kwa nchi nyingine. Lakini mwisho wa siku watakutaka utumie hizo bidhaa zao kwa bei wanayoipanga. Kibaya zaidi wanakandia sana dawa za aina nyingine. Kwa kifupi hata ni matangazo ya biashara yaliyojaa uongo ili kukuvutia. Tahadhari kabla ya hatari.
 
Na kwa bahati mbaya wanawapata watu wengi tu wa kuwatapeli!
 
Kuna wa sabuni ya kuondoa mvi kwa 69k, ajab wanataka wakufanyie delivery tu!
Mambo ya afya inabid taasisi za serkali ziwe proactive na kutoa mwongozo. Vipigo vimezid.
 
Hilii ni tangazo, sema ni refu sana kwa kulisoma
 
Kuna sentesi umeandika β€œwazungu waikubali”. Hivi mpaka leo hii msomi kama ww? Kutumia product zenu mpaka mzungu atoe approval? Seriously?
 
Tuna hitaji wasomi wa mifano Kama Hawa sio wale wa r&l huku jf
 
Utaibiwa!!! Ukifatikia hayo matangazo ya kwenye browser kesho utakuta huyo huyo Daktari Mtanzania, anakuketea dawa ya sukari, pressure, Figo, maumivu ya viungo, ini, nk.

Haya ni maatangazo yalio kwenye internet mostly kwenye default page, nathani ni AI generated kutoka na umri wako, gender na unapenda kutafuta dawa Gani.
 
Imekaa kibiashara zaidi kuliko kihuduma watu wapone
 
Hela inatafutwa kwa bidii mpaka inaogopa, insjificha, na watu wanaongeza kasi ya kukutafuta. Dah!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu dogo atakufa masikini na ajira za TAMISEMI unakataaje dola milioni 15 tena za mmarekani? Mwisho wa siku watanunua product yake kwa laki 6 wataenda kuifanyia analysis kisha wanadaka formula. Hao wazalendo wanampotosha
Hakuna kitu, ni kanyaboya. Ni Tangazo la biashara. Ukiwa Kenya hari hii hiiitaabdika hivihivi but itaandika kagundua Mkenya
 
Nimrtumia karibu kopo 7 nadhani.sijaona mabadiliko
 
Hatujui tunacho hitaji ni kujua ukweli
Na ni ukweli kuhusu dawa ya macho, mengine aanzishe uzi mwingine tofauti.

Lakini ana hoja, kumtambua na kumfaham huyo Daktari ni mwanzo mzuri wa kufuatilia uthibitisho wa hii dawa.
 
kwanza hata ukiangalia kiingereza chenyewe kwenye hayo maelezo utagundua ni chenga tu, it is him the dokta ,ndionini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…