Sasa imekuwa wazi, kanda ya ziwa ina watanzania asilimia 25 tu

Sasa imekuwa wazi, kanda ya ziwa ina watanzania asilimia 25 tu

Watu wa kanda ya ziwa ndiyo wamejazana ndani ya majeshi kuanzia JWTZ mpaka Polisi tangu enzi za ukoloni. Wanasiasa wanawaogopa.
 
Kulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana.

Takwimu za sasa kwa namba:

Mwanza 3,699,872
Kagera 2,989,299
Geita 2,977,608
Mara 2,356,255
Shinyanga 2,123,654
Simiyu 2,078,428

Jumla ni around milioni 15 ambayo ni kama robo tu ya watanzania wote.
Utafiti wako haujakamilika. Ebu linganisha;
a) Kanda ya Mashariki ni asilimia ngapi?
b) Kanda ya Magharbi ni asilimia ngapi?
c) Kanda ya Kaskazini ni asilimia ngapi?
d) Kanda ya Kusini je?
e) Kanda ya Kati je?
Ukija na asilimia kwa kila kanda ndio utajua ubabe wa Kanda ya Ziwa.
 
Wasukuma tunawapenda lakini hatuwezi kuwapa nchi Tena note it
Wewe huna nafuu yoyote dhidi ya hilo kundi la 'wasukuma' unalolisema hapa.
Kama hujui kuwa siyo wasukuma wote, na kwamba maeneo yote hayo yaliyo orodheshwa hapo si wasukuma pekee wanaoishi humo, basi utakuwa hujui kitu.
Tena unakiiya "HAYA LAND", kabisa. Inaonyesha wewe ni mbovu zaidi ya hao wasukuma unaowasema hapa.

Na hlo wazo la kudhani au kutaka waTanzania wajibague kwa misingi ya kikanda ni wazo la kipuuzi kabisa.
 
Kwa hiyo ile propaganda pendwa ya CCM ndio imetupwa jalalani?
 
Na hao milioni 15 ni pamoja na watoto..na wageni ambao wanaishi huko....so wapiga Kura halisi unaweza kukuta ni milioni 5 tu
Kaacha tabora hapo,Kuna mtu 3.6..hata hivyo Kura 5m ni nyingi Sana na hapo hawajahamasika kupiga Kura,wanaweza fika 8m,robo ya nchi ni sehemu kubwa ukilinganisha na Kanda zingine
 
Ameongelea kanda ya ziwa hajaongelea wasukuma ndio maana kuna kagera na mara ,shuleni ulijifunza ujinga
Mie nimemjibu sio kwa kuangalia concious mind yake Bali Ile subconscious mind yake iliyofanya akandika vile mie ndie nimedili nayo. Usidhani kuwa wote tunawaza Kama uwazavyo,hujaelewaga mpaka umri huu kuwa tunatofautiana perception
 
Msome vizuri mleta mada. Ameongelea kanda ya Ziwa. Tabora ipo Kanda ya Kati, Kigoma ipo Kanda ya Magharibi.
Tabora haipo Kanda ya kati ni magharibi lakini kwa muktadha wa Kura huwekwa Kanda ya ziwa kwa kuwa lugha,utamaduni,mentality na wasukuma havipishani sana
 
Kulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana.

Takwimu za sasa kwa namba:

Mwanza 3,699,872
Kagera 2,989,299
Geita 2,977,608
Mara 2,356,255
Shinyanga 2,123,654
Simiyu 2,078,428

Jumla ni around milioni 15 ambayo ni kama robo tu ya watanzania wote.
 
Ongezea na tabora na kagera na rukwa na katavi hao wote huwa tunawameza nadhani mpaka singida hao Ni watano zetu hawaendi mbali na sio tulipoamua.kumbuka huko Moro mbeya pwani tanga iringa lake zone wamezama pote nchini wakifanya kazi ambazo Wana ujuzi nazo Mana wengi hawakusoma miaka iyo.

Labda saivi ndipo wanaenda shule kwa idadi kubwa. Ila kilimo na ufugaji biashara hizo wamo hawanagui kazi hawachagui hawaogopi pori lolote kuishimo.

Umeona wachina walivyozaliana na wameanza kusambaa dunia nzima
Wewe inaonekana una elimu ya kuokoteza. Hujui hata nchi ina Kanda ngapi, wala hujui ni mikoa ipi ipo kanda gani!
 
Kulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana.

Takwimu za sasa kwa namba:

Mwanza 3,699,872
Kagera 2,989,299
Geita 2,977,608
Mara 2,356,255
Shinyanga 2,123,654
Simiyu 2,078,428

Jumla ni around milioni 15 ambayo ni kama robo tu ya watanzania wote.
Eti ndio walikwua wanasema wataamua Rais 😁😁
 
Back
Top Bottom