Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Huu ndio urithi aliotuachia Hayati Mwl Nyerere.15m lakini majimbo ya uchaguzi hayafiki 40. Zanzibar wakaazi chini ya 2m wana majimbo ya uchaguzi 50.
Tunahitaji katiba itakayotibu haya maradhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio urithi aliotuachia Hayati Mwl Nyerere.15m lakini majimbo ya uchaguzi hayafiki 40. Zanzibar wakaazi chini ya 2m wana majimbo ya uchaguzi 50.
Tunahitaji katiba itakayotibu haya maradhi.
Hata shinyanga hakuna ziwa ila ni sehemu ya kanda ya ziwa.Unatakiwa kuelewa kanda ya ziwa ni jamii ya namna gani??Ukizungumzia kanda ya ziwa haumaanishi eneo la ardhi ila kuna vitu tunaangalia mfano ushawishi pili muingiliano tatu tamaduni.Ushawishi ukweli ni kwamba ushawishi wa kanda ya ziwa umesambaa mpaka Tabora,kigoma na katavi na hub ya biashara ni Mwanza,Pili muingiliano ni mkubwa sana kwasababu tabia na tamaduni za hawa watu zinaendana sana mfano msukuma(mwanza,shinyanga,simuyu na munyamwezi (tabora) pia waha(kigoma),wahangaza(kagera) na wasubi (geita) hawa ni jamii moja pia na tamaduni za hawa watu zinafanana sana.Nadhani utakuwa umenielewa.Note kikifanyika kitu chochote Jiji Mwanza elewa kitakuwa na impact kanda ya ziwa nzima mpaka kigoma na tabora kama kuna ubishi fanyeni research mtaniambia.Tabora kuna ziwa gani?kutoka tabora mpaka uliguse ziwa victoria ni km 500,tabora ni jirani na kigoma,labda uongelee ziwa tanganyika
Kanda ya katTabora Iko wapii
Sioni ukaribu wa wahaya na Wasukuma bila kusahau kuna wakurya hawa si wamoja kabisa.1/4 ya watanzania unaiona ni ndogo,?
Umekosea. Kagera siyo Kanda ya Ziwa. Ipo Kanda ya Magharibi. Naona Wahaya hawakutaka kujumuishwa na wasukuma.Kulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana.
Takwimu za sasa kwa namba:
Mwanza 3,699,872
Kagera 2,989,299
Geita 2,977,608
Mara 2,356,255
Shinyanga 2,123,654
Simiyu 2,078,428
Jumla ni around milioni 15 ambayo ni kama robo tu ya watanzania wote.
Jamii ya wafugaji na wakulima hao ndo wabantu kweli kweliSioni ukaribu wa wahaya na Wasukuma bila kusahau kuna wakurya hawa si wamoja kabisa.
Kama huamini nenda kauulize mama kwanini nawekeza sana kisiasa na ccm kanda ya ziwa kuliko huko kwenu njombe.Kwa taarifa yako kanda ya ziwa inaimeza mpaka Katavi.Tabora na kigoma hakuna tena mjadala wewe endelea kupiga kelele Kanda ya ziwa saizi ina ushawishi kwa zaidi ya watanzania mil 25 kati ya mil 61 kibiashara na kiasa wewe endelea kubweka shauri yako wajuzi wa mambo walishaelewa kinachoendelea.Eti ndio walikwua wanasema wataamua Rais 😁😁
Hizo ni hadithi. Kimaamuzi, ukimaanisha nini? Kwanza hata Kagera haipo Kanda ya Ziwa, ni Kanda ya Magharibi.Umesahau Kigoma na Tabora ambao kimaamuzi wana mlengo wa Kanda ya Ziwa achiliq mbali Kijiografia.
Usijali mankaNgosha acha hasira za ki-intaprinyuwaa[emoji23]
Weka tabora pia Kisha jumuishaKulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana.
Takwimu za sasa kwa namba:
Mwanza 3,699,872
Kagera 2,989,299
Geita 2,977,608
Mara 2,356,255
Shinyanga 2,123,654
Simiyu 2,078,428
Jumla ni around milioni 15 ambayo ni kama robo tu ya watanzania wote.
Kama uelewi kitu kubali kueleweshwa kwa taarifa kagera ndo mwanzilishi wa kanda ya ziwa kipindi hicho ukiitwa west lake region kabla ya hapo ulikuwa mkoa mmoja wa Nyanza(mara,mwanza na kagera)ikiwemo.Sema wewe unachanganyikiwa kwasababu kagera ina influence mpaka kigomaUmekosea. Kagera siyo Kanda ya Ziwa. Ipo Kanda ya Magharibi. Naona Wahaya hawakutaka kujumuishwa na wasukuma.
Mgawanyo wa Kanda:
Kanda ya Kaskazini (Arusha, Manyara, Kilimanjaro)
Kanda ya Mashariki (Pwani, Morogoro, Dar)
Kanda ya Kusini (Mtwara, Lindi, Ruvuma)
Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa)
Kanda ya Magharibi (Kagera, Kigoma, Katavi)
Kanda ya Kati (Dodoma, Singida, Tabora)
Kanda ya Ziwa (Mwanza, Geita, Simiyu, Shinyanga, Mara)
Kama ni hivyo mbona umeacha Tabora..mbona umeachaKulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana.
Takwimu za sasa kwa namba:
Mwanza 3,699,872
Kagera 2,989,299
Geita 2,977,608
Mara 2,356,255
Shinyanga 2,123,654
Simiyu 2,078,428
Jumla ni around milioni 15 ambayo ni kama robo tu ya watanzania wote.
Hoja za kipuuzi kabisa.Hata shinyanga hakuna ziwa ila ni sehemu ya kanda ya ziwa.Unatakiwa kuelewa kanda ya ziwa ni jamii ya namna gani??Ukizungumzia kanda ya ziwa haumaanishi eneo la ardhi ila kuna vitu tunaangalia mfano ushawishi pili muingiliano tatu tamaduni.Ushawishi ukweli ni kwamba ushawishi wa kanda ya ziwa umesambaa mpaka Tabora,kigoma na katavi na hub ya biashara ni Mwanza,Pili muingiliano ni mkubwa sana kwasababu tabia na tamaduni za hawa watu zinaendana sana mfano msukuma(mwanza,shinyanga,simuyu na munyamwezi (tabora) pia waha(kigoma),wahangaza(kagera) na wasubi (geita) hawa ni jamii moja pia na tamaduni za hawa watu zinafanana sana.Nadhani utakuwa umenielewa.Note kikifanyika kitu chochote Jiji Mwanza elewa kitakuwa na impact kanda ya ziwa nzima mpaka kigoma na tabora kama kuna ubishi fanyeni research mtaniambia.
Duuu we jomba unataka ligi Sasa.Msome vizuri mleta mada. Ameongelea kanda ya Ziwa. Tabora ipo Kanda ya Kati, Kigoma ipo Kanda ya Magharibi.
Kwa hiyo muhaya na msukuma wanatamaduni sawa,acha siada dogoHata shinyanga hakuna ziwa ila ni sehemu ya kanda ya ziwa.Unatakiwa kuelewa kanda ya ziwa ni jamii ya namna gani??Ukizungumzia kanda ya ziwa haumaanishi eneo la ardhi ila kuna vitu tunaangalia mfano ushawishi pili muingiliano tatu tamaduni.Ushawishi ukweli ni kwamba ushawishi wa kanda ya ziwa umesambaa mpaka Tabora,kigoma na katavi na hub ya biashara ni Mwanza,Pili muingiliano ni mkubwa sana kwasababu tabia na tamaduni za hawa watu zinaendana sana mfano msukuma(mwanza,shinyanga,simuyu na munyamwezi (tabora) pia waha(kigoma),wahangaza(kagera) na wasubi (geita) hawa ni jamii moja pia na tamaduni za hawa watu zinafanana sana.Nadhani utakuwa umenielewa.Note kikifanyika kitu chochote Jiji Mwanza elewa kitakuwa na impact kanda ya ziwa nzima mpaka kigoma na tabora kama kuna ubishi fanyeni research mtaniambia.
Nitakusahidi kukusogeza karibu kiuelewa japo kichwa chako ni kigumu.Kwa taaarifa yako ukisikia kanda ya ziwa elewa ni tofauti na kanda zote nchi hii na itakuchukua muda kuelewa inawezekana sababu ikawa ujawahi kuishi au kufika kabisa.Kwa kukusaidia tu watu wakanda ya ziwa sio watu wakukutanishwa na biashara tu wewe toka kanda yoyote ile nenda kanda ya ziwa kafanye biashara na utafanya bila shida ila kuna kitu kitakuwa nje ya co- relation ya hawa watu na kama hauamini fanya research utaniambia na hii co-relation sasa imenea mpaka tabora,kigoma na katavi.Hoja za kipuuzi kabisa.
Ukienda Mwanza sasa hivi, hasa jijini Mwanza, miongoni mwa wafanyabiashara, hasa wakubwa na wa kati, wapo wa makabila mengi, wakiwemo wachaga, wameru, mpaka wakenya. Sasa muingilioni wa kikanda unaousema sijui ni upi.
Sioni utofauti wowote wa Kanda ya Ziwa na Kanda nyingine. Na wala Kanda hazikugawanywa kwa kufuata makabila au desturi za wahusika.
Ebu niambie muingiliano wa watu wa Iringa na Rukwa kidesturi, au watu wa Ruvuma na Lindi, jadi wawe kwenye Kanda moja. Au niambie desturi za watu wa Kagera zinazoshabiahiana na za watu wa Shinyanga. Au watu wa Tabora Vs Kigoma.
Leo hii, mbao zilizojaa Mwanza, Shinyanga, Tabora, zinatoka Iringa na Mbeya. Hayo ni maingiliano ya kibiashara. Kwa hiyo tuseme na Mbeya na Iringa ni Kanda ya Ziwa? Mahindi yanayoliwa Mwanza na Shinyanga, zaidi yanatoka Singida, maharage na viazi mviringo vinatoka Arusha, kwa hiyo hii mikoa ya Arusha na Singida, nayo ni Kanda ya Ziwa kwa sababu ina muingiliano mkubwa wa kibiashara na mikoa ya Kanda ya Ziwa?
TABORA WAKO KANDA YA ZIWA TANGU LINI????Kaacha tabora hapo,Kuna mtu 3.6..hata hivyo Kura 5m ni nyingi Sana na hapo hawajahamasika kupiga Kura,wanaweza fika 8m,robo ya nchi ni sehemu kubwa ukilinganisha na Kanda zingine
Shida uzungumza bila kuelewa kwamba wasukuma wana jamii nyingi.Kuna wasukuma wa sengerema hadi chato na kuendelea mpaka huko ngara hawa ni wasukuma kutoka jamii ya wazinza ambao wazinza wametoka jamii ya wahaya na kwaaarifa yako utawala wa mteni rumanyika ulitawala mpaka geita ya sasa ambayo ilikuwa inaitwa buzinza na busubi.Kwa hiyo muhaya na msukuma wanatamaduni sawa,acha siada dogo
Acha fix bhana, Kigoma na Mwanza wapi na wapi?? Mnalazimisha kanda ya ziwa iwe eneo kubwa bila sababu za msingi.Hata shinyanga hakuna ziwa ila ni sehemu ya kanda ya ziwa.Unatakiwa kuelewa kanda ya ziwa ni jamii ya namna gani??Ukizungumzia kanda ya ziwa haumaanishi eneo la ardhi ila kuna vitu tunaangalia mfano ushawishi pili muingiliano tatu tamaduni.Ushawishi ukweli ni kwamba ushawishi wa kanda ya ziwa umesambaa mpaka Tabora,kigoma na katavi na hub ya biashara ni Mwanza,Pili muingiliano ni mkubwa sana kwasababu tabia na tamaduni za hawa watu zinaendana sana mfano msukuma(mwanza,shinyanga,simuyu na munyamwezi (tabora) pia waha(kigoma),wahangaza(kagera) na wasubi (geita) hawa ni jamii moja pia na tamaduni za hawa watu zinafanana sana.Nadhani utakuwa umenielewa.Note kikifanyika kitu chochote Jiji Mwanza elewa kitakuwa na impact kanda ya ziwa nzima mpaka kigoma na tabora kama kuna ubishi fanyeni research mtaniambia.