Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Wewe ndiyo mtupu kabisa. Kasome historia tena. Mkoa wa Kagera haujawahi kuwa pamoja na Mwanza.Kama uelewi kitu kubali kueleweshwa kwa taarifa kagera ndo mwanzilishi wa kanda ya ziwa kipindi hicho ukiitwa west lake region kabla ya hapo ulikuwa mkoa mmoja wa Nyanza(mara,mwanza na kagera)ikiwemo.Sema wewe unachanganyikiwa kwasababu kagera ina influence mpaka kigoma
Mkoa wa Kagera, toka mwaka 1964 mpaka 1984 ulikuwa ukijulikana Jimbo la Ziwa Magharibi. Na makao makuu ya mkoa huu yalikuwa mjini Bukoba.
Mkoa wa Mwanza ulikuwa ukiitwa Jbo la Ziwani ambao ulikuwa ukijumuisha Shinyanga, Mara, Geita na Simiyu (kwa sasa).
Tabora ilijulikana kama jimbo la Magharibi.
Kujielemisha zaidi, soma hapa: Mikoa ya Tanzania - Wikipedia, kamusi elezo huru