Sasa imekuwa wazi, kanda ya ziwa ina watanzania asilimia 25 tu

Watu wa kanda ya ziwa ndiyo wamejazana ndani ya majeshi kuanzia JWTZ mpaka Polisi tangu enzi za ukoloni. Wanasiasa wanawaogopa.
 
Utafiti wako haujakamilika. Ebu linganisha;
a) Kanda ya Mashariki ni asilimia ngapi?
b) Kanda ya Magharbi ni asilimia ngapi?
c) Kanda ya Kaskazini ni asilimia ngapi?
d) Kanda ya Kusini je?
e) Kanda ya Kati je?
Ukija na asilimia kwa kila kanda ndio utajua ubabe wa Kanda ya Ziwa.
 
Wasukuma tunawapenda lakini hatuwezi kuwapa nchi Tena note it
Wewe huna nafuu yoyote dhidi ya hilo kundi la 'wasukuma' unalolisema hapa.
Kama hujui kuwa siyo wasukuma wote, na kwamba maeneo yote hayo yaliyo orodheshwa hapo si wasukuma pekee wanaoishi humo, basi utakuwa hujui kitu.
Tena unakiiya "HAYA LAND", kabisa. Inaonyesha wewe ni mbovu zaidi ya hao wasukuma unaowasema hapa.

Na hlo wazo la kudhani au kutaka waTanzania wajibague kwa misingi ya kikanda ni wazo la kipuuzi kabisa.
 
Kwa hiyo ile propaganda pendwa ya CCM ndio imetupwa jalalani?
 
Na hao milioni 15 ni pamoja na watoto..na wageni ambao wanaishi huko....so wapiga Kura halisi unaweza kukuta ni milioni 5 tu
Kaacha tabora hapo,Kuna mtu 3.6..hata hivyo Kura 5m ni nyingi Sana na hapo hawajahamasika kupiga Kura,wanaweza fika 8m,robo ya nchi ni sehemu kubwa ukilinganisha na Kanda zingine
 
Ameongelea kanda ya ziwa hajaongelea wasukuma ndio maana kuna kagera na mara ,shuleni ulijifunza ujinga
Mie nimemjibu sio kwa kuangalia concious mind yake Bali Ile subconscious mind yake iliyofanya akandika vile mie ndie nimedili nayo. Usidhani kuwa wote tunawaza Kama uwazavyo,hujaelewaga mpaka umri huu kuwa tunatofautiana perception
 
Msome vizuri mleta mada. Ameongelea kanda ya Ziwa. Tabora ipo Kanda ya Kati, Kigoma ipo Kanda ya Magharibi.
Tabora haipo Kanda ya kati ni magharibi lakini kwa muktadha wa Kura huwekwa Kanda ya ziwa kwa kuwa lugha,utamaduni,mentality na wasukuma havipishani sana
 
 
Wewe inaonekana una elimu ya kuokoteza. Hujui hata nchi ina Kanda ngapi, wala hujui ni mikoa ipi ipo kanda gani!
 
Eti ndio walikwua wanasema wataamua Rais 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…